Namna gani unaiba mademu wakali wakiwa na wanaume zao mabishoo sehemu za viwanja./Bata

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Haya maisha ni burudani kuna wanaume masharobaro akili finyu anakuja sehemu za bata huku ana pesa mbuzi kama elfu50 tu then anavimba, anamleta demu huku haja exhaust fully likes za demu kwenye mitoko wao wanadhani Heineken na savanna ndio kila kitu.

Sasa mimi silaha yangu kuu huwa ni kula naagiza misosi types tofauti kama awamu 3, na mziki kila mziki nacheza style kama tatu, kama unapenda za mbinga na hujui kucheza mziki jifiche na demu wako.

Mimi sina kazi nafanya advertize zangu binafsi kisha nampa mhudumu elfu20 akaongee na demu ampe namba na elfu50 ampe huyo demu wa bishoo huku ashaona vibes zangu. Natulia demu akiwa chooni anamaliza kwa simple and basic English

Thank you ur a carer and a giver,
I just reply I was meant for your coming, am hostely ur dream man, home is sweet and am the greatest home you gonna have.

Am done I simply hook by benefit sharing.

Unapataje kuwaibia hao sharobaro mademu zao.

Let's share
 
Nishavaa cheni ya silver shingoni, bracelet zinang’aa nina saa ya utanashati left hand.
Tshirt on point jeans au pensi, simu natoa cover, ni samsung note 8 colour ya grey, nina 14 colour black.
Shisha mezani, nimenyoa vzuri, nasindikiza na Captain morgan chupa kubwa ile au serengeti lite bucket.
Na sina mambo mengi, mm na simu yangu, kama siangalii jF npo whatsapp au nacheck nguo we chat za mchina.
Nikitaka kuondoka na demu siku hyo naamua mimi.
Na ninapoenda watu wanaponijua.
 
😂😂 Hakika umetisha Sana mkuu
 
Haya maisha ni burudani kuna wanaume masharobaro akili finyu anakuja sehemu za bata huku ana pesa mbuzi kama elfu50 tu then anavimba, anamleta demu huku haja exhaust fully likes za demu kwenye mitoko wao wanadhani Heineken na savanna ndio kila kitu.

Sasa mimi silaha yangu kuu huwa ni kula naagiza misosi types tofauti kama awamu 3, na mziki kila mziki nacheza style kama tatu, kama unapenda za mbinga na hujui kucheza mziki jifiche na demu wako.

Mimi sina kazi nafanya advertize zangu binafsi kisha nampa mhudumu elfu20 akaongee na demu ampe namba na elfu50 ampe huyo demu wa bishoo huku ashaona vibes zangu. Natulia demu akiwa chooni anamaliza kwa simple and basic English

Thank you ur a carer and a giver,
I just reply I was meant for your coming, am hostely ur dream man, home is sweet and am the greatest home you gonna have.

Am done I simply hook by benefit sharing.

Unapataje kuwaibia hao sharobaro mademu zao.

Let's share

Mnaanzaga hivi halafu mnakuja kuleta picha ya mkuyenge unatoa usaha mnaomba ushauri, nikiwatusi mnaniona mbaya.
 
Haya maisha ni burudani kuna wanaume masharobaro akili finyu anakuja sehemu za bata huku ana pesa mbuzi kama elfu50 tu then anavimba, anamleta demu huku haja exhaust fully likes za demu kwenye mitoko wao wanadhani Heineken na savanna ndio kila kitu.

Sasa mimi silaha yangu kuu huwa ni kula naagiza misosi types tofauti kama awamu 3, na mziki kila mziki nacheza style kama tatu, kama unapenda za mbinga na hujui kucheza mziki jifiche na demu wako.

Mimi sina kazi nafanya advertize zangu binafsi kisha nampa mhudumu elfu20 akaongee na demu ampe namba na elfu50 ampe huyo demu wa bishoo huku ashaona vibes zangu. Natulia demu akiwa chooni anamaliza kwa simple and basic English

Thank you ur a carer and a giver,
I just reply I was meant for your coming, am hostely ur dream man, home is sweet and am the greatest home you gonna have.

Am done I simply hook by benefit sharing.

Unapataje kuwaibia hao sharobaro mademu zao.

Let's share
Vijana [emoji119]
 
Mi huwa nikienda bar hasa kiwanja cha ugenini nikiwa alone naishiaga kuongea na mhudumu tu napo nikiwa naagiza bia utakuta nimechafua meza nimenyoa para sina ndevu nikienda toilet nikiacha bia nusu nikirudi sinywi
 
Back
Top Bottom