Namna ilivyo vigumu kwa mfumo wa ulinzi wa anga (Patriot) kuharibiwa kabisa na kombora la Hypersonic (Kinzhal) Missile

Imeloa

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2013
Posts
14,885
Reaction score
18,083
Tofauti na wengine wanavyofikiri, ni vigumu sana kwa kombora la Hypersonic (Kinzhal) kuharibu kabisa mfumo wa ulinzi wa anga kama Patriot Air Defense System.

Mfumo huu wa ulinzi wa anga kwa namna ilivyotengenezwa kufanya kazi haikai sehemu moja bali ina mifumo kadhaa ambazo huwekwa maeneo tofauti tofauti ndipo mfumo wenyewe ufanye kazi na imewekwa hivyo kwa kuangalia ufanisi na usalama wa mfumo wenyewe. Kwa taarifa zaidi unaweza kusoma hapa chini.

Hahahahahahah bado hamtaki kukubali tu...inaelekea kile kitendo kimemuuma sana Mmarekani hapo wanapigania kuokoa soko la hayo machuma ...maana S300 imeonyesha ufanisi wa hali ya juu Ukraine na ndio ilikuwa kikwazo kikubwa kwa Russia pale Ukraine kuna wakati ndege za Russia zilikuwa zimedhibitiwa kabisa
 
Wazee wa kujifariji lile tukioa ilikuwa KO ya kikubwa sana
 
Warusi bwana makombora ya kipekee na spidi kali yamefumuliwa na PADs aise
 
Hahahahahahah bado hamtaki kukubali tu...inaelekea kile kitendo kimemuuma sana Mmarekani hapo wanapigania kuokoa soko la hayo machuma ...maana S300 imeonyesha ufanisi wa hali ya juu Ukraine na ndio ilikuwa kikwazo kikubwa kwa Russia pale Ukraine kuna wakati ndege za Russia zilikuwa zimedhibitiwa kabisa
Mkuu Ukraine alikuwa na mifumo hiyo(S-300) 200+ ,Sasa hivi ipo wapi?
hujui kuwa ukraine ina layered air defence kuanzia Stingers,Igla,Gepards,S-300,Burks ad,Nasams,Iris T,Sumpt,Patriot AD.
Sasa unapesema zilisaidia sasa hivi zipo wapi?
Inaonekana upo nyuma ya muda!
 
Nchi kaa Urusi ilipaswa kuwa imefika ktk ya kyiev na sio story za kulipua patriot
 
Mkuu Ukraine alikuwa na mifumo hiyo(S-300) 200+ ,Sasa hivi ipo wapi?
hujui kuwa ukraine ina layered air defence kuanzia Stingers,Igla,Gepards,S-300,Burks ad,Nasams,Iris T,Sumpt,Patriot AD.
Sasa unapesema zilisaidia sasa hivi zipo wapi?
Inaonekana upo nyuma ya muda!
S300 zimeishiwa missiles au wewe ndio hujui😁
 
Naona mtaalamu kutoka Pentagon anautetea mfumo wao
 
Mkuu Ukraine alikuwa na mifumo hiyo(S-300) 200+ ,Sasa hivi ipo wapi?
hujui kuwa ukraine ina layered air defence kuanzia Stingers,Igla,Gepards,S-300,Burks ad,Nasams,Iris T,Sumpt,Patriot AD.
Sasa unapesema zilisaidia sasa hivi zipo wapi?
Inaonekana upo nyuma ya muda!
Waongo sana hawa!
 
Tofauti na wengine wanavyofikiri, ni vigumu sana kwa kombora la Hypersonic (Kinzhal) kuharibu kabisa mfumo wa ulinzi wa anga kama Patriot Air Defense System.

Mfumo huu wa ulinzi wa anga kwa namna ilivyotengenezwa kufanya kazi haikai sehemu moja bali ina mifumo kadhaa ambazo huwekwa maeneo tofauti tofauti ndipo mfumo wenyewe ufanye kazi na imewekwa hivyo kwa kuangalia ufanisi na usalama wa mfumo wenyewe. Kwa taarifa zaidi unaweza kusoma hapa chini.

Mambo mengine ukiyasikiliza unabaki unacheka tu - hivi sub assemly za patriot hata zikisambazwa maili mia apart lakini ukweli unabaki kwamba lazima ziwasiliane in real time 24X7 challenge hipo hapo - Warusi au wataalamu walio somea mambo hayo wanajua kwamba zimeunganishwa in a mesh network na kila node iliyo fungwa kwenye network hiyo ina unique code ya ku-identify hivyo ni rahisi Warusi ku-sniff node zote nakuzi identify kuzitag with unique name na kuzi program kwenye computer zao baadae zinatumwa pre programmed missiles kufatilia node za Patriot moja baada ya nyingine - launchers hata kama zimefichwa - radars, control systems etc - mwisho wasiko USA wasifikiri kusambaza Patriot sub assembly zake mafichoni ya kilo mita 100 apart ndio solution - Rusdian kitu ingine.
 
Sasa ukiona wewe wa Kibaha kwa Mfipa ndio unajua hivyo wakati unashindia chai ya rangi na kitumbua kimoja sasa jiulize tu kwamba wamarekani wenyewe sasa wanajua kiasi gani....!!!
 
Tofauti na wengine wanavyofikiri, ni vigumu sana kwa kombora la Hypersonic (Kinzhal) kuharibu kabisa mfumo wa ulinzi wa anga kama Patriot Air Defense System.

Mfumo huu wa ulinzi wa anga kwa namna ilivyotengenezwa kufanya kazi haikai sehemu moja bali ina mifumo kadhaa ambazo huwekwa maeneo tofauti tofauti ndipo mfumo wenyewe ufanye kazi na imewekwa hivyo kwa kuangalia ufanisi na usalama wa mfumo wenyewe. Kwa taarifa zaidi unaweza kusoma hapa chini.

Hata kama ziko pieces pieces lakini kuna hub (engine) sasa ukipiga hapo penye mshono, kuna nini tena kitakacho endelea?
 
Halafu kama kweli Warusi waliharibu hiyo mifumo, mbona leo wasitume hypersonic kadhaa maana mji utakua wazi sasa.
 
🤣🤣🤣 Mbona kila siku miji yote ya Ukraine inawaka moto. Panasonic maalumu ktk target maalum tu. Panasonic sio maandazi na ndio maana yanamilikiwa na mataifa mawili tu hapa duniani
 
Back
Top Bottom