Mahembezzzzzz!Pale Mwandege naonaga Fuso zina maembe.
Tulia wewe nisha edit.. 😂😂Mahembezzzzzz!
Nenda Kahama ukaone lorries zinabeba maembe.....tena biashara safinsana....miembe mingi sana ya kutosha sanaaa....Pale Mwandege naonaga Fuso zina maembe.
Tatizo mtaji boss. Dah. Mapambano ngoja yaendeleeNenda Kahama ukaone lorries zinabeba maembe.....tena biashara safinsana....miembe mingi sana ya kutosha sanaaa....
Tulia wewe!Ulimi hauna mshipa.Tulia wewe nisha edit.. 😂😂
Azam anapeleka lorry kama 100 zinapakia maembe huko.....tembea ujionee....usiseme kitu huna uhakika nachoTatizo mtaji boss. Dah. Mapambano ngoja yaendelee
HahaaaTulia wewe nisha edit.. 😂😂
Sema haujanielewa. Ila peace.Azam anapeleka lorry kama 100 zinapakia maembe huko.....tembea ujionee....usiseme kitu huna uhakika nacho