Namna Juice ya Embe inavyotengenezwa bila Maembe yenyewe, Tunakunywa Chemical nyingi Mnoo

Namna Juice ya Embe inavyotengenezwa bila Maembe yenyewe, Tunakunywa Chemical nyingi Mnoo

Azam inasaplai na kuuza rojo za matunda hadi kwa viwanda vingine vya juisi pia. That's a fact.

Ni kweli wanatumia matunda, japo kemikali za kuongeza ladha, rangi, vihifadhi (preservatives), nk plus sukari kali zinatumika kwa wingi.

Hivyo ni sahihi kusema juisi ya matunda viwandani si pyua juisi.

Ndiyo maana hata kitaalamu na kiafya zaidi zinapaswa zinyweke zikiwa za baridi.

Healthy life is too great a possession to be trifled with.
Kiwanda kama SAYONA wanauza Pulp germany
 
Kuna mtu nilishawahi kumuuliza Hivi Kutengeneza Juice ya Ukwaju na Ikawa Nzito kama ya Mzee wetu, inahitaji utengeneze na Ukwaju kiasi gani?.

na je ushawahi kuona au kusikia wamenunu maembe au ukwaju sehemu ukaingizwa kiwandani..

Hii Video inaonesha ni kiasi gani tunatumia Chemical nyingi sana katika Juice na Soda mbalimbali zinazokuwa na Flavor ya matunda, Ni mfano tu wa namna hizi Juice na Soda za matunda zinavyotengenezwa


View attachment 3014615
Hili mbona lipo wazi pale kwenye compositions wameandika muwe mnaangalia.
 
Ukitaka pure juice nunua matunda tengeneza mwenyewe
Hizo zote za kina azam savona mo nk wala siyo pure juice

Ova
 
Ndizo mbinu wantumia kutulemaza akili wanachukua bandari tukiwatazama
 
🤣🤣🤣
 

Attachments

  • IMG_20240611_215117.jpg
    IMG_20240611_215117.jpg
    107.7 KB · Views: 4
Namimi nishawahi kufanya hii kazi kusema ukweli ukitaka juice nunua blenda yako ndogo na maembe kazaa gologosha unywe vingenevyo magonjwa ya ajabu utayaona soon
 
Sio rahisi kukwepa kemikali kwenye vyakula vya kusindika viwandani
 
Back
Top Bottom