Namna Juice ya Embe inavyotengenezwa bila Maembe yenyewe, Tunakunywa Chemical nyingi Mnoo

Namna Juice ya Embe inavyotengenezwa bila Maembe yenyewe, Tunakunywa Chemical nyingi Mnoo

Allah atunusuru na tuwe na kizazi bora. Pitia hapa na upige kura kama imekaa poa

 
jamaa anaongea kama yeye ndiye mgunduzi wa kuwa soda na juice zina tengenezwa hivi..
kwa mujibu wa picha jongeo mtandaoni. watu wa nchi hiyo inaonekana kwao usafi mwiko..

sehemu kubwa ya mchakato wana shika kwa mikono
Kuna kiwanda Kisafi Zaidi ya Viwanda vya Dawa Ttuma Picha ya kiwanda kisafi 🤣🤣
 
Sasa si unasoma tu ingredients za kinywaji husika utaona kila kilichomo pamoja na asilimia zake.

Mpaka kiwanda kinafanya kazi na bidhaa inafika sokoni maana yake wataalamu wamejiridhisha, kazi inabaki kwako mlaji kujua kipi kinafaa na kipi hakifai kwa matumizi yako. Soda na vinywaji vingine vya viwandani vinajulikana toka miaka kuwa siyo vizuri kwa matumizi ya mara kwa mara.
Wanaweka kibiashara kaka
 
Kuna kiwanda Kisafi Zaidi ya Viwanda vya Dawa Ttuma Picha ya kiwanda kisafi 🤣🤣
ila hawa magabachori wame zidi aisee . maandalizi ya chakula wanatumia bare hands .
sasa kiwanda hata kikiwa kichafy ila siyo kushika na mikono aisee
 
Majuisi yenyewe ukinywa hutalala usingizi utakata. Juisi gani zile ikimwagika huoni inzi akikimbilia kulambalamba wakati inzi anapenda embe? Ukiacha chupa wazi hutakuta wadudu wameifakamia
 
Kuna mtu nilishawahi kumuuliza Hivi Kutengeneza Juice ya Ukwaju na Ikawa Nzito kama ya Mzee wetu, inahitaji utengeneze na Ukwaju kiasi gani?.

na je ushawahi kuona au kusikia wamenunu maembe au ukwaju sehemu ukaingizwa kiwandani..

Hii Video inaonesha ni kiasi gani tunatumia Chemical nyingi sana katika Juice na Soda mbalimbali zinazokuwa na Flavor ya matunda, Ni mfano tu wa namna hizi Juice na Soda za matunda zinavyotengenezwa


View attachment 3014615
Hayo malori yaliyopo kiwanda cha Azam kule Mwandege Dar es Salaam yakiwa yamebeba embe anapelekewa nani kuyala? Na wale wanawake ndani ya kiwanda wakiwa kwenye mkanda wa kuchagua na kusafisha embe wanazila wao peke yao bila kuwapelekea watoto na waume zao?
Kinachofanywa na kiwanda kimoja sicho kifanyikacho kwenye viwanda vyote.
 
Hakuna kiwanda kinatumia maembe ya kutoka shambani

Uache uongo wako
Azam inasaplai na kuuza rojo za matunda hadi kwa viwanda vingine vya juisi pia. That's a fact.

Ni kweli wanatumia matunda, japo kemikali za kuongeza ladha, rangi, vihifadhi (preservatives), nk plus sukari kali zinatumika kwa wingi.

Hivyo ni sahihi kusema juisi ya matunda viwandani si pyua juisi.

Ndiyo maana hata kitaalamu na kiafya zaidi zinapaswa zinyweke zikiwa za baridi.

Healthy life is too great a possession to be trifled with.
 
Back
Top Bottom