Namna Juice ya Embe inavyotengenezwa bila Maembe yenyewe, Tunakunywa Chemical nyingi Mnoo

Allah atunusuru na tuwe na kizazi bora. Pitia hapa na upige kura kama imekaa poa

 
jamaa anaongea kama yeye ndiye mgunduzi wa kuwa soda na juice zina tengenezwa hivi..
kwa mujibu wa picha jongeo mtandaoni. watu wa nchi hiyo inaonekana kwao usafi mwiko..

sehemu kubwa ya mchakato wana shika kwa mikono
Kuna kiwanda Kisafi Zaidi ya Viwanda vya Dawa Ttuma Picha ya kiwanda kisafi 🤣🤣
 
Wanaweka kibiashara kaka
 
Kuna kiwanda Kisafi Zaidi ya Viwanda vya Dawa Ttuma Picha ya kiwanda kisafi 🤣🤣
ila hawa magabachori wame zidi aisee . maandalizi ya chakula wanatumia bare hands .
sasa kiwanda hata kikiwa kichafy ila siyo kushika na mikono aisee
 
Majuisi yenyewe ukinywa hutalala usingizi utakata. Juisi gani zile ikimwagika huoni inzi akikimbilia kulambalamba wakati inzi anapenda embe? Ukiacha chupa wazi hutakuta wadudu wameifakamia
 
Hayo malori yaliyopo kiwanda cha Azam kule Mwandege Dar es Salaam yakiwa yamebeba embe anapelekewa nani kuyala? Na wale wanawake ndani ya kiwanda wakiwa kwenye mkanda wa kuchagua na kusafisha embe wanazila wao peke yao bila kuwapelekea watoto na waume zao?
Kinachofanywa na kiwanda kimoja sicho kifanyikacho kwenye viwanda vyote.
 
Hakuna kiwanda kinatumia maembe ya kutoka shambani

Uache uongo wako
Azam inasaplai na kuuza rojo za matunda hadi kwa viwanda vingine vya juisi pia. That's a fact.

Ni kweli wanatumia matunda, japo kemikali za kuongeza ladha, rangi, vihifadhi (preservatives), nk plus sukari kali zinatumika kwa wingi.

Hivyo ni sahihi kusema juisi ya matunda viwandani si pyua juisi.

Ndiyo maana hata kitaalamu na kiafya zaidi zinapaswa zinyweke zikiwa za baridi.

Healthy life is too great a possession to be trifled with.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…