Namna Juice ya Embe inavyotengenezwa bila Maembe yenyewe, Tunakunywa Chemical nyingi Mnoo

Kiwanda kama SAYONA wanauza Pulp germany
 
Hili mbona lipo wazi pale kwenye compositions wameandika muwe mnaangalia.
 
Ukitaka pure juice nunua matunda tengeneza mwenyewe
Hizo zote za kina azam savona mo nk wala siyo pure juice

Ova
 
Ndizo mbinu wantumia kutulemaza akili wanachukua bandari tukiwatazama
 
🤣🤣🤣
 

Attachments

  • IMG_20240611_215117.jpg
    107.7 KB · Views: 4
Namimi nishawahi kufanya hii kazi kusema ukweli ukitaka juice nunua blenda yako ndogo na maembe kazaa gologosha unywe vingenevyo magonjwa ya ajabu utayaona soon
 
Sio rahisi kukwepa kemikali kwenye vyakula vya kusindika viwandani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…