wasaidizi wa muuaji Samia hata akili hamna🤮🤮Mtuhumiwa anaweza kurejeshwa Tanzania kutoka nje ya nchi kwa makosa makubwa kama uhujumu uchumi, rushwa, ugaidi, au mauaji endapo masharti ya kisheria yatatimia:
1. Extradition Act, Cap. 368 (Tanzania): Kosa lazima liwe la jinai pia katika nchi anakoishi mtuhumiwa (dual criminality).
2. First Schedule ya Cap. 368: Kosa liwe miongoni mwa makosa yanayokubaliwa kimataifa kwa ajili ya kurudisha watuhumiwa.
3. Cap. 329, Section 27(1): Inaruhusu usaidizi wa kimataifa katika kesi za rushwa na uhujumu uchumi.
4. Cap. 200, Section 12(1): Inaruhusu upelelezi na urejeshaji wa watuhumiwa kutoka nje ya nchi kwenye makosa ya uhujumu uchumi.
Sheria ya Marekani (Title 18, USC § 3181–3196): Marekani inaruhusu extradition kwa misingi ya mkataba kati yake na nchi nyingine. Tanzania na Marekani zina mkataba wa usaidizi wa kisheria (Mutual Legal Assistance Treaty - MLAT), unaoruhusu kurudisha watuhumiwa ikiwa kuna ushahidi wa kutosha na makosa hayo yanatambuliwa na pande zote.
Marekani hawezi kukuletea raia wake umshitakiMtuhumiwa anaweza kurejeshwa Tanzania kutoka nje ya nchi kwa makosa makubwa kama uhujumu uchumi, rushwa, ugaidi, au mauaji endapo masharti ya kisheria yatatimia:
1. Extradition Act, Cap. 368 (Tanzania): Kosa lazima liwe la jinai pia katika nchi anakoishi mtuhumiwa (dual criminality).
2. First Schedule ya Cap. 368: Kosa liwe miongoni mwa makosa yanayokubaliwa kimataifa kwa ajili ya kurudisha watuhumiwa.
3. Cap. 329, Section 27(1): Inaruhusu usaidizi wa kimataifa katika kesi za rushwa na uhujumu uchumi.
4. Cap. 200, Section 12(1): Inaruhusu upelelezi na urejeshaji wa watuhumiwa kutoka nje ya nchi kwenye makosa ya uhujumu uchumi.
Sheria ya Marekani (Title 18, USC § 3181–3196): Marekani inaruhusu extradition kwa misingi ya mkataba kati yake na nchi nyingine. Tanzania na Marekani zina mkataba wa usaidizi wa kisheria (Mutual Legal Assistance Treaty - MLAT), unaoruhusu kurudisha watuhumiwa ikiwa kuna ushahidi wa kutosha na makosa hayo yanatambuliwa na pande zote.
Baba yako aliuza nguruwe akapeleka nguruwe mwingine shuleMtuhumiwa anaweza kurejeshwa Tanzania kutoka nje ya nchi kwa makosa makubwa kama uhujumu uchumi, rushwa, ugaidi, au mauaji endapo masharti ya kisheria yatatimia:
1. Extradition Act, Cap. 368 (Tanzania): Kosa lazima liwe la jinai pia katika nchi anakoishi mtuhumiwa (dual criminality).
2. First Schedule ya Cap. 368: Kosa liwe miongoni mwa makosa yanayokubaliwa kimataifa kwa ajili ya kurudisha watuhumiwa.
3. Cap. 329, Section 27(1): Inaruhusu usaidizi wa kimataifa katika kesi za rushwa na uhujumu uchumi.
4. Cap. 200, Section 12(1): Inaruhusu upelelezi na urejeshaji wa watuhumiwa kutoka nje ya nchi kwenye makosa ya uhujumu uchumi.
Sheria ya Marekani (Title 18, USC § 3181–3196): Marekani inaruhusu extradition kwa misingi ya mkataba kati yake na nchi nyingine. Tanzania na Marekani zina mkataba wa usaidizi wa kisheria (Mutual Legal Assistance Treaty - MLAT), unaoruhusu kurudisha watuhumiwa ikiwa kuna ushahidi wa kutosha na makosa hayo yanatambuliwa na pande zote.
Asante at least wewe una hoja ya kisheria lakini siyo hao mabwege akina Tindo, Extra focus na Mad MaxUnasahau kitu kimoja kidogo sana, ili mtu awe "Extradited" lazima pande mbili zishirikishane "grounds" ama ushahidi na ushahidi lazima uwepo.
Tatu, marekani "Extradition" inapingwa mahakamani. Usifikiri Mange ataenda kamatwa tuu kama mwizi wa kuku, kuletwa bongo.
She has to challenge her extradition before the court.
Nne, marekani wanaelewa Mange anawindwa auwawe na hatapata hukumu ya haki bongo hii. Marekani inajua kumtoa Mange ni sawa na kusign her death certificate.
Utabiri wangu: Hii ishu, itaenda kwa miaka mingi sana na Serikali itashindwa.
Hii kazi ameshindwa magu chuma cha pua na bashite ngoja tuone kwa huyu iron lady kama atawezaMtuhumiwa anaweza kurejeshwa Tanzania kutoka nje ya nchi kwa makosa makubwa kama uhujumu uchumi, rushwa, ugaidi, au mauaji endapo masharti ya kisheria yatatimia:
1. Extradition Act, Cap. 368 (Tanzania): Kosa lazima liwe la jinai pia katika nchi anakoishi mtuhumiwa (dual criminality).
2. First Schedule ya Cap. 368: Kosa liwe miongoni mwa makosa yanayokubaliwa kimataifa kwa ajili ya kurudisha watuhumiwa.
3. Cap. 329, Section 27(1): Inaruhusu usaidizi wa kimataifa katika kesi za rushwa na uhujumu uchumi.
4. Cap. 200, Section 12(1): Inaruhusu upelelezi na urejeshaji wa watuhumiwa kutoka nje ya nchi kwenye makosa ya uhujumu uchumi.
Sheria ya Marekani (Title 18, USC § 3181–3196): Marekani inaruhusu extradition kwa misingi ya mkataba kati yake na nchi nyingine. Tanzania na Marekani zina mkataba wa usaidizi wa kisheria (Mutual Legal Assistance Treaty - MLAT), unaoruhusu kurudisha watuhumiwa ikiwa kuna ushahidi wa kutosha na makosa hayo yanatambuliwa na pande zote.
Ninajuwa sisi tumewahi kumkabidhi drug King wetu Shikuba na yule Lwitico wa Magomeni Popobawa kwa FBI.Tutajie raia yoyote wa nchi nyingine ambaye amekimbilia Marekani ambae alituhumiwa na nchi yake na Marekani ikamkabidhi ?