Namna Mange Kimambi anavyoweza kuletwa nchini kujibu tuhuma zake

Namna Mange Kimambi anavyoweza kuletwa nchini kujibu tuhuma zake

Yaani unawaza kumfuata Mange maelfu ya maili wakati hajaua hata siafu huku hawa washenzi walioua maelfu ya watanganyika ambao mmewazika katika makaburi ya hailiki mko nao hapo Tanzania.
20251126_012459.jpg
20251126_034653.jpg
20251104_030225.jpg
 
Ninajuwa sisi tumewahi kumkabidhi drug King wetu Shikuba na yule Lwitico wa Magomeni Popobawa kwa FBI.

Pia kuna mfanya biashara moja wa magrader pale Tegeta/ Boko mwenye kampuni ya Giant naye alikuwa na makosa ya FRAUD alinyakuliwa pia

Mkuu, kesi ya Mange ni kisiasa, yeye ni Mwanaharakati, tofautisha na hao drug dealers. Mange amekuwa anawindwa na tawala zote tatu, JK, JPM na huyu Bibie.

Mange atakwenda Mahakamani kupinga kuridishwa kwake, kama kutakuwepo. Na naamini hakutakuwepo sababu ya ishu yake ilivyo. Ishu ya Mange sio Criminal Procedure ni Man hunt.

Hakamatwi Mange ili ajibu tuhuma zake, anawindwa ili auwawe. Marekani sio wajinga mkuu, ni watu werevu na wapo mbele ya muda.
 
Mtuhumiwa anaweza kurejeshwa Tanzania kutoka nje ya nchi kwa makosa makubwa kama uhujumu uchumi, rushwa, ugaidi, au mauaji endapo masharti ya kisheria yatatimia:

1. Extradition Act, Cap. 368 (Tanzania): Kosa lazima liwe la jinai pia katika nchi anakoishi mtuhumiwa (dual criminality).
2. First Schedule ya Cap. 368: Kosa liwe miongoni mwa makosa yanayokubaliwa kimataifa kwa ajili ya kurudisha watuhumiwa.
3. Cap. 329, Section 27(1): Inaruhusu usaidizi wa kimataifa katika kesi za rushwa na uhujumu uchumi.
4. Cap. 200, Section 12(1): Inaruhusu upelelezi na urejeshaji wa watuhumiwa kutoka nje ya nchi kwenye makosa ya uhujumu uchumi.

Sheria ya Marekani (Title 18, USC § 3181–3196): Marekani inaruhusu extradition kwa misingi ya mkataba kati yake na nchi nyingine. Tanzania na Marekani zina mkataba wa usaidizi wa kisheria (Mutual Legal Assistance Treaty - MLAT), unaoruhusu kurudisha watuhumiwa ikiwa kuna ushahidi wa kutosha na makosa hayo yanatambuliwa na pande zote.
Tatizo uvccm wengi akili hamna CV yenu kubwa ni uchawa
 
wewe una akili ya kujua choo kilipo tu hata hivyo mshukuru Mungu
Anataka mtoe hoja apate cha kwenda kuwaambia mabwana zake , yuko hapo kujifunza mwenzenu.

Anawaprovoke muongee apate chakunote. Mtu yoyote hata mjinga anajua Marekani haiwezi kumkabidhi Mange kwa serikali ya Tanzania, kisheria hata kihuni haitowezekana milele. Labda angekuwa na kesi ya ugaidi na marekani wapewe ushahidi usiotia shaka.

Labda ninyi ni wageni wa vijana wa CCM, wanapenda mno kuwadanganya wazee, tatizo ni wavivu kusoma na si wasema kweli. Wangekuwa wasema kweli wangewaambia wazee wao hii kitu kulingana na hali ya kisiasa iliyopo nchini haitakaa iwezekane, Nchi ambayo kila mpinzani ni ama ametekwa , amehongwa au ana kesi , Marekani ni wajinga kiasi gani wafanye hivyo?
 
Amepata majibu tayari 😂😂
 
Mwenzenu Rostam ana diversify biashara zake E.A, anapiga deal huku ana legit business; kwa sababu anaelewa deal za serikali sio biashara ya kudumu.

Shida ipo kwenu wabantu hamuwezi kuishi bila ya serikali ata uibe billioni mia uwezi iendeleza ni kulilia kuiba tu.

Samia akitoka kesho GSM wana adapt na biashara halali maisha yanaenda kama na administration mpya, hata raisi awe mkali vipi.

Sio sisi wabantu kama laana, mtu unapata hela kwa njia ya wizi. Ambazo mtaji tosha wa kuanzisha kiwanda cha maana cha kuzalisha bidhaa na kuanza safari ya kuwaachia familia yako urithi wa muda mrefu.

Hizo hela unaenda nunua Bugatti na yard yako kuna magari yenye thamani $6 million plus, sijui umejengea vimada nyumba, uwekezaji wenye low return nyumba za kupangisha and so forth with our nonsense.

Watu kama nyie amuwezi rizika kamwe ni lazima muishi kwa serikali ya wizi. Kesho Samia akitoka Rostam na GSM hakuna kitu kinabadilika kwenye maisha yao. Kasheshe ipo kwa wabantu sasa kama huyu jamaa, hakina Abdul sijui mzenji na sakapoko wengine weusi huko CCM na serikalini.
 
Anataka mtoe hoja apate cha kwenda kuwaambia mabwana zake , yuko hapo kujifunza mwenzenu.

Anawaprovoke muongee apate chakunote. Mtu yoyote hata mjinga anajua Marekani haiwezi kumkabidhi Mange kwa serikali ya Tanzania, kisheria hata kihuni haitowezekana milele. Labda angekuwa na kesi ya ugaidi na marekani wapewe ushahidi usiotia shaka.

Labda ninyi ni wageni wa vijana wa CCM, wanapenda mno kuwadanganya wazee, tatizo ni wavivu kusoma na si wasema kweli. Wangekuwa wasema kweli wangewaambia wazee wao hii kitu kulingana na hali ya kisiasa iliyopo nchini haitakaa iwezekane, Nchi ambayo kila mpinzani ni ama ametekwa , amehongwa au ana kesi , Marekani ni wajinga kiasi gani wafanye hivyo?
Weka na namna samuya anavyoweza kupelekwa ICC
 
Mtuhumiwa anaweza kurejeshwa Tanzania kutoka nje ya nchi kwa makosa makubwa kama uhujumu uchumi, rushwa, ugaidi, au mauaji endapo masharti ya kisheria yatatimia:

1. Extradition Act, Cap. 368 (Tanzania): Kosa lazima liwe la jinai pia katika nchi anakoishi mtuhumiwa (dual criminality).
2. First Schedule ya Cap. 368: Kosa liwe miongoni mwa makosa yanayokubaliwa kimataifa kwa ajili ya kurudisha watuhumiwa.
3. Cap. 329, Section 27(1): Inaruhusu usaidizi wa kimataifa katika kesi za rushwa na uhujumu uchumi.
4. Cap. 200, Section 12(1): Inaruhusu upelelezi na urejeshaji wa watuhumiwa kutoka nje ya nchi kwenye makosa ya uhujumu uchumi.

Sheria ya Marekani (Title 18, USC § 3181–3196): Marekani inaruhusu extradition kwa misingi ya mkataba kati yake na nchi nyingine. Tanzania na Marekani zina mkataba wa usaidizi wa kisheria (Mutual Legal Assistance Treaty - MLAT), unaoruhusu kurudisha watuhumiwa ikiwa kuna ushahidi wa kutosha na makosa hayo yanatambuliwa na pande zote.
Yaan mnaacha kupambana na mafisadi kina Abdul, Angela kiziga, mnaanza kupambana na Mange? CCM kweli ni tatizo kwenye hii nchi.
 
Marekani haiwezi fanya upumbavu uliowahi kufanywa na Nyerere kumkabidhi Kasim Hanga kwa Karume akauwawe huku akijua Hanga hakuwa na kosa. Pia Marekani kwa sasa haiko vizuri na nchi yetu ndo maana umeona matamko yake.... ni ngumu mno kufanikiwa hicho kinachopiganiwa. Raia wa Marekani ana thamani kubwa kiasi kwamba hata magaidi huwa hawawaui hovyo.
Mbona Ilhan Omar yule ambaye ni member wa Congress kupitia Democrats yuko kwenye hati hati ya kuwa deported pamoja na Wasomali wengine wa Minnesota?
 
wewe una akili ya kujua choo kilipo tu hata hivyo mshukuru Mungu
Wewe una akili ya mende. Unakula kwenye malabati lakini unaishi kwenye makaro ya maji machafu
 
Inawezekani ni miongoni mwa wale Wanasheria Special Seat waliotunukiwa uwakili jana na mwaka jana bila kuputia lawa school kwa favour ya Serikali.
Hebu fafanua hili! Kuna mawakili waliopewa uwakili bila kupita Law School??
 
Magenge ya uharibifu wa mali kama kuchoma petrol stations na miundombinu ya serikali yalikuwa yanatupeleka pabaya kama nchi.
Sheikh Sharif Majini na Master Tindwa walipigwa risasi je na wao walichoma gas station na miundo mbinu ya serikali?

Je katika sheria za kitanzania mtu anayechoma miundombinu ya serikali adhabu yake ni kupigwa risasi hadi kifo?
Hao uliowaweka hapo wanastahili nishani ya ushujaa kwa kuinusuru nchi yetu.
Labda wanastahili nishani ya upumbavu na ukatili na itakua ni division IV zilizoshindikana maana katika course za polisi duniani kuna somo la public order and public safety wanafunzwa crowd control methods.

Hawa washenzi wamempa nishani ya mauaji ya halaiki aliyewatuma na kwa sasa ni mhalifu wa kimataifa anayesubiri amri ya kukamatwa kutoka mahakama ya kimataifa ya uhalifu.
 
Mbona Ilhan Omar yule ambaye ni member wa Congress kupitia Democrats yuko kwenye hati hati ya kuwa deported pamoja na Wasomali wengine wa Minnesota?
Wale wana makosa ya kufadhili makundi ya kigaidi,
hilo ni kosa kubwa ambalo halina njia ya kutokea ikithibitika ni kweli, tena trump mwenyewe anakwambia ilhan aliingia marekani kihuni kwa kufoji ndoa na kaka yake wa damu,
huyo hata ingekuwa wapi angekuwa deported tu,
sasa Mange ambaye ni raia wa marekani amevunja sheria gani ya marekani hata waone umuhimu wa kumrudisha aje kuuawa na mabaradhuli yasiyopenda haki?
marekani wenyewe wanamlinda wakijua ni mhanga anayewindwa na wahalifu ili wamuue,
kumbuka siku ile ya maandamano ya diaspora ni cia ndiyo waliompa tahadhari kuwa kuna watu wamepenyezwa na serikali haramu ya tanzania ili wamduru.
 
Mbona Ilhan Omar yule ambaye ni member wa Congress kupitia Democrats yuko kwenye hati hati ya kuwa deported pamoja na Wasomali wengine wa Minnesota?
Kesi ya Ilhan ni tofauti. Atarudishwa kwao na atapokelewa na ndugu zake. Ila Mange akirudishwa ni jela direct au kifo.
 
Back
Top Bottom