Namna Mange Kimambi anavyoweza kuletwa nchini kujibu tuhuma zake

It goes without say kuwa without intervention ya Polisi na JWTZ pengine hapa ungekuwa haupo kuandika hizi pumba. Yale magenge yalikuwa reckless they burn anything, they steal anything and walikuwa unstoppable except kwa risasi za moto tu
Jinsi unakazana kukwepa hoja za mshkaji unajigeuza kituko mkuu. Amekuuliza Sheikh Shariff Majini na Master Twindwa waliiandamana wapi, walichoma gas stations ngapi, na ofisi ngapi?

Yule askari magereza ASP ABBAS RAJABU MKALI aliyekuwa likizo Dar na akapigwa risasi na polisi maeneo ya Mazizini akiwa anatambea alichoma vituo vingapi vya mafuta na aliiba nini hadi kustahili kifo?

Without intervention ya polisi na vile vikundi vya kigaidi mlivyokodi kuua wananchi, leo hii tungekuwa tunajiandaa kusheherekea uhuru wa kweli tarehe 9 badala ya kupanga maandamano mengine.
 
Ninajuwa sisi tumewahi kumkabidhi drug King wetu Shikuba na yule Lwitico wa Magomeni Popobawa kwa FBI.

Pia kuna mfanya biashara moja wa magrader pale Tegeta/ Boko mwenye kampuni ya Giant naye alikuwa na makosa ya FRAUD alinyakuliwa pia
Hata Marekani walishakabidhi watuhumiwa wa makosa ya jinai TZ kibao. Ila nyumbu hawajui.
 
Mtuhumiwa anaweza kurejeshwa Tanzania kutoka nje ya nchi kwa makosa makubwa kama uhujumu uchumi, rushwa, ugaidi, au mauaji endapo masharti ya kisheria yatatimia:

1. Extradition Act, Cap. 368 (Tanzania): Kosa lazima liwe la jinai pia katika nchi anakoishi mtuhumiwa (dual criminality).
2. First Schedule ya Cap. 368: Kosa liwe miongoni mwa makosa yanayokubaliwa kimataifa kwa ajili ya kurudisha watuhumiwa.
3. Cap. 329, Section 27(1): Inaruhusu usaidizi wa kimataifa katika kesi za rushwa na uhujumu uchumi.
4. Cap. 200, Section 12(1): Inaruhusu upelelezi na urejeshaji wa watuhumiwa kutoka nje ya nchi kwenye makosa ya uhujumu uchumi.

Sheria ya Marekani (Title 18, USC § 3181–3196): Marekani inaruhusu extradition kwa misingi ya mkataba kati yake na nchi nyingine. Tanzania na Marekani zina mkataba wa usaidizi wa kisheria (Mutual Legal Assistance Treaty - MLAT), unaoruhusu kurudisha watuhumiwa ikiwa kuna ushahidi wa kutosha na makosa hayo yanatambuliwa na pande zote.
Hata kbla ya kuperuzi sheria, unaamini kabisa Kimange anaweza kurudishwa nyumbani kukabidhiwa kwa Tanzania? Nadhani huifahamu Marekani.....
 
It goes without say kuwa without intervention ya Polisi na JWTZ pengine hapa ungekuwa haupo kuandika hizi pumba. Yale magenge yalikuwa reckless they burn anything, they steal anything and walikuwa unstoppable except kwa risasi za moto tu
Usizunguke sana weka ushahidi hapa, BBC, CNN, NTV , Citizen , Aljazeera na mashuhuda wengi walishatoa footage za polisi na watu walio na nguo za kiraia wakipiga watu risasi mitaani.

Sasa weka hapa ushahidi kuwa watu walitaka kuchoma kituo cha kuzalisha umeme.
 
Asante at least wewe una hoja ya kisheria lakini siyo hao mabwege akina Tindo, Extra focus na Mad Max
Wengi hawajui kabisa system ya US inavyofanya kazi, hivi majuzi serikali ya Marekani yenyewe ilipata kazi kubwa mno kumuondoa Mpalestina ambaye wanadai alikuwa anachochea vurugu vyuoni. Ni kazi kubwa mno kuondoa mtu Marekani hasa mwenye uraia...
 
Ninajuwa sisi tumewahi kumkabidhi drug King wetu Shikuba na yule Lwitico wa Magomeni Popobawa kwa FBI.

Pia kuna mfanya biashara moja wa magrader pale Tegeta/ Boko mwenye kampuni ya Giant naye alikuwa na makosa ya FRAUD alinyakuliwa pia
Umeulizwa Mmarekani aliyerudishwa wewe unajibu Mtanzania aliyepelekwa Marekani.
 
Mtuhumiwa anaweza kurejeshwa Tanzania kutoka nje ya nchi kwa makosa makubwa kama uhujumu uchumi, rushwa, ugaidi, au mauaji endapo masharti ya kisheria yatatimia:

1. Extradition Act, Cap. 368 (Tanzania): Kosa lazima liwe la jinai pia katika nchi anakoishi mtuhumiwa (dual criminality).
2. First Schedule ya Cap. 368: Kosa liwe miongoni mwa makosa yanayokubaliwa kimataifa kwa ajili ya kurudisha watuhumiwa.
3. Cap. 329, Section 27(1): Inaruhusu usaidizi wa kimataifa katika kesi za rushwa na uhujumu uchumi.
4. Cap. 200, Section 12(1): Inaruhusu upelelezi na urejeshaji wa watuhumiwa kutoka nje ya nchi kwenye makosa ya uhujumu uchumi.

Sheria ya Marekani (Title 18, USC § 3181–3196): Marekani inaruhusu extradition kwa misingi ya mkataba kati yake na nchi nyingine. Tanzania na Marekani zina mkataba wa usaidizi wa kisheria (Mutual Legal Assistance Treaty - MLAT), unaoruhusu kurudisha watuhumiwa ikiwa kuna ushahidi wa kutosha na makosa hayo yanatambuliwa na pande zote.
Kuna uwezekano mkubwa Samia kuondoka Madarakani kabla ya kindi chake kuliko Kimange kurudishwa Tanzania.Nenda kafanyie lamination hii statement!
 
Mkuu hawezi kurudishwa kwa Kesi ambayo imefunguliwa tu Mkuu....Inawezekana Tanzania, Sio Marekani.....
Mimi nawafahamu watz walirudishwa toka Marekani kwa makosa ya ujambazi waliofanya TZ then wakakimbilia US.
 
Mbona umesema wazi Ujambazi! Nawafahamu wengi pia...Lakini kesi kama ya Kimange!
 
Jinsi unakazana kukwepa hoja za mshkaji unajigeuza kituko mkuu. Amekuuliza Sheikh Shariff Majini na Master Twindwa waliiandamana wapi, walichoma gas stations ngapi, na ofisi ngapi?

Yule askari magereza ASP ABBAS RAJABU MKALI aliyekuwa likizo Dar na akapigwa risasi na polisi maeneo ya Mazizini akiwa anatambea alichoma vituo vingapi vya mafuta na aliiba nini hadi kustahili kifo?

Without intervention ya polisi na vile vikundi vya kigaidi mlivyokodi kuua wananchi, leo hii tungekuwa tunajiandaa kusheherekea uhuru wa kweli tarehe 9 badala ya kupanga maandamano mengine.
Hawataki kukubali hilo...Hawataki kukubali ukweli kwa makusudi kabisa!
 
Mbona umesema wazi Ujambazi! Nawafahamu wengi pia...Lakini kesi kama ya Kimange!
Uhujumu Uchumi/Utakatishaji Fedha si inasemekana imo katika orodha ya kesi ambazo mtuhumiwa anaweza kurudishwa nchini?
 
Unasahau kitu kimoja kidogo sana, ili mtu awe "Extradited" lazima pande mbili zishirikishane "grounds" ama ushahidi na ushahidi lazima uwepo.

Tatu, marekani "Extradition" inapingwa mahakamani. Usifikiri Mange ataenda kamatwa tuu kama mwizi wa kuku, kuletwa bongo.

She has to challenge her extradition before the court.

Nne, marekani wanaelewa Mange anawindwa auwawe na hatapata hukumu ya haki bongo hii. Marekani inajua kumtoa Mange ni sawa na kusign her death certificate.

Utabiri wangu: Hii ishu, itaenda kwa miaka mingi sana na Serikali itashindwa.
Umeandika ninayopenda kuyasoma sisi wa maendeleo ya jamii na sheria wapi na wapi
 
Kumrudisha mange Bongo bila hata kuwa na elimu ya sheria ningumu mmno kutokana na taswila ya nchi yetu.
Nchi yetu inatuhumiwa sana na maswala ya utekaji, mauwaji na kutoheshimu haki za binadamu
 
Back
Top Bottom