Namna Mange Kimambi anavyoweza kuletwa nchini kujibu tuhuma zake

Namna Mange Kimambi anavyoweza kuletwa nchini kujibu tuhuma zake

Mtuhumiwa anaweza kurejeshwa Tanzania kutoka nje ya nchi kwa makosa makubwa kama uhujumu uchumi, rushwa, ugaidi, au mauaji endapo masharti ya kisheria yatatimia:

1. Extradition Act, Cap. 368 (Tanzania): Kosa lazima liwe la jinai pia katika nchi anakoishi mtuhumiwa (dual criminality).
2. First Schedule ya Cap. 368: Kosa liwe miongoni mwa makosa yanayokubaliwa kimataifa kwa ajili ya kurudisha watuhumiwa.
3. Cap. 329, Section 27(1): Inaruhusu usaidizi wa kimataifa katika kesi za rushwa na uhujumu uchumi.
4. Cap. 200, Section 12(1): Inaruhusu upelelezi na urejeshaji wa watuhumiwa kutoka nje ya nchi kwenye makosa ya uhujumu uchumi.

Sheria ya Marekani (Title 18, USC § 3181–3196): Marekani inaruhusu extradition kwa misingi ya mkataba kati yake na nchi nyingine. Tanzania na Marekani zina mkataba wa usaidizi wa kisheria (Mutual Legal Assistance Treaty - MLAT), unaoruhusu kurudisha watuhumiwa ikiwa kuna ushahidi wa kutosha na makosa hayo yanatambuliwa na pande zote.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Shule mhimu jamani
 
Umeulizwa Mmarekani aliyerudishwa wewe unajibu Mtanzania aliyepelekwa Marekani.
Kama tuliwahi kuruhusu Mtanzania achukuliwe na FBI ina maana hata sisi tukimtaka mtuhumiwa wetu tutampata kwa kupitia ile Mutual Legal Assistance Treaty - (MLAT) ambayo tumeridhiana
 
Wajinga wajinga tuulizeni sisi ambao tupo US na tunajua sheria ! Ni lazima order ya deportation kutoka US itoke kwa judge sio wanasiasa . Hakuna judge USA ambaye anaweza hata kupoteza muda kusikiliza kesi ya kijinga hivi hivyo kisheria hawezi kurudishwa
Waweza kuwa uko USA lakkni wewe siyo white collar fellow. Unaweza kuwa mfagia makaburi au mzoa taka kwenye malori. Toa hoja tu lakini usidhani kusema kuwa "sisi tulio Marekani". Wengi wenu mnashinda 24/7 kusafisha mabibi vizee
 
Kama kawaida yenu mnashinda kuandika ndoto za kitoto ambazo hazina uhalisia. Mimi nipo hapa toka 2006 nina record isio ya ubabaishaji na wachanbuzi wanajua utaalamu wangu. Wewe shinda jidanganye tu
 
Waweza kuwa uko USA lakkni wewe siyo white collar fellow. Unaweza kuwa mfagia makaburi au mzoa taka kwenye malori. Toa hoja tu lakini usidhani kusema kuwa "sisi tulio Marekani". Wengi wenu mnashinda 24/7 kusafisha mabibi vizee
Hizi kauli zimewafanya baadhi washindwe kujaribu maisha wakiwa home kwa kuogopa kuchekwa na kufa masikini..ukiona mtu anaongea kama wewe hapa Jua hauna hata chembe ya exposure..
 
Kama ulisomea hiki uloandika pole sana bora ungejijita hata kwenye hotel menejiment
Mtuhumiwa anaweza kurejeshwa Tanzania kutoka nje ya nchi kwa makosa makubwa kama uhujumu uchumi, rushwa, ugaidi, au mauaji endapo masharti ya kisheria yatatimia:

1. Extradition Act, Cap. 368 (Tanzania): Kosa lazima liwe la jinai pia katika nchi anakoishi mtuhumiwa (dual criminality).
2. First Schedule ya Cap. 368: Kosa liwe miongoni mwa makosa yanayokubaliwa kimataifa kwa ajili ya kurudisha watuhumiwa.
3. Cap. 329, Section 27(1): Inaruhusu usaidizi wa kimataifa katika kesi za rushwa na uhujumu uchumi.
4. Cap. 200, Section 12(1): Inaruhusu upelelezi na urejeshaji wa watuhumiwa kutoka nje ya nchi kwenye makosa ya uhujumu uchumi.

Sheria ya Marekani (Title 18, USC § 3181–3196): Marekani inaruhusu extradition kwa misingi ya mkataba kati yake na nchi nyingine. Tanzania na Marekani zina mkataba wa usaidizi wa kisheria (Mutual Legal Assistance Treaty - MLAT), unaoruhusu kurudisha watuhumiwa ikiwa kuna ushahidi wa kutosha na makosa hayo yanatambuliwa na pande zote.
 
Ilipata kazi kumuondoa Mpalestina lakini ilimuondoa, hiyo ndiyo mchakato. Hawezi kuondoshwa kwa simu au barua bali kwa mchakato wa Kimahakama
Narudia tena, kwa mchakato wa Kimahakama hamuezi kumuondoa Mange Marekani! Lakini nikuulize swali, yaani Mange kwa Social media tu mmemshindwa! Kawatetemesha! Sasa mnakuja na kesi ya kuhujumu uchumi? Hamuoni hata aibu? Mawazo yake yameweza kufanyiwa wa kazi! CCM na media zake zote! Na wasanii ! Na polisi na TISS mlishindwa kabisa kupambana Mange! Hadi Rais akaapishwa kwenye kambi ya jeshi! Kwa kuogopa posts za binti aliyeyoko Marekani! Ni aibuKubwa mno kwa serikali ya Tanzania!

Mliyoyayafanya October 30 ndio ambayo yatazuia Kimange kukanyaga ardhi ya Tanzania!
 
Asante Mkuu UCD kwa kumkumbusha huyu Tindo kuhusu kuto attack personality instead aje na vifungu

Siwafahamu hao akina Sheikh Sharif Majini wala Rajab Mkali
Unawafahamu mamia kama maelfu ya watu waliouawa! Samia kasema aliamuru itumike nguvu ya ziada kuuwa! Anajua hiyo nguvu alielekeza juu ya nani!
 
Anataka mtoe hoja apate cha kwenda kuwaambia mabwana zake , yuko hapo kujifunza mwenzenu.

Anawaprovoke muongee apate chakunote. Mtu yoyote hata mjinga anajua Marekani haiwezi kumkabidhi Mange kwa serikali ya Tanzania, kisheria hata kihuni haitowezekana milele. Labda angekuwa na kesi ya ugaidi na marekani wapewe ushahidi usiotia shaka.

Labda ninyi ni wageni wa vijana wa CCM, wanapenda mno kuwadanganya wazee, tatizo ni wavivu kusoma na si wasema kweli. Wangekuwa wasema kweli wangewaambia wazee wao hii kitu kulingana na hali ya kisiasa iliyopo nchini haitakaa iwezekane, Nchi ambayo kila mpinzani ni ama ametekwa , amehongwa au ana kesi , Marekani ni wajinga kiasi gani wafanye hivyo?
😂😂😂😂😂
 
Kibatala wa bei za jioni.

Hivi huwa mnaandika haya mkiwa mmetoka kupuu bila kuchamba?
 
Hizi kauli zimewafanya baadhi washindwe kujaribu maisha wakiwa home kwa kuogopa kuchekwa na kufa masikini..ukiona mtu anaongea kama wewe hapa Jua hauna hata chembe ya exposure..
Kwa vile unauza apples mitaa ya Tembisa Joburg unajiona ume panchi sana
 
Back
Top Bottom