Ngarob
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 1,053
- 3,612
Naongezea ya mwishoUnasahau kitu kimoja kidogo sana, ili mtu awe "Extradited" lazima pande mbili zishirikishane "grounds" ama ushahidi na ushahidi lazima uwepo.
Tatu, marekani "Extradition" inapingwa mahakamani. Usifikiri Mange ataenda kamatwa tuu kama mwizi wa kuku, kuletwa bongo.
She has to challenge her extradition before the court.
Nne, marekani wanaelewa Mange anawindwa auwawe na hatapata hukumu ya haki bongo hii. Marekani inajua kumtoa Mange ni sawa na kusign her death certificate.
Utabiri wangu: Hii ishu, itaenda kwa miaka mingi sana na Serikali itashindwa.
Kule US hakuna ushawishi au tashwishwi ya Kabudi / Rushwa