Namna Mange Kimambi anavyoweza kuletwa nchini kujibu tuhuma zake

Mtuhumiwa anaweza kurejeshwa Tanzania kutoka nje ya nchi kwa makosa makubwa kama uhujumu uchumi, rushwa, ugaidi, au mauaji endapo masharti ya kisheria yatatimia:

1. Extradition Act, Cap. 368 (Tanzania): Kosa lazima liwe la jinai pia katika nchi anakoishi mtuhumiwa (dual criminality).
2. First Schedule ya Cap. 368: Kosa liwe miongoni mwa makosa yanayokubaliwa kimataifa kwa ajili ya kurudisha watuhumiwa.
3. Cap. 329, Section 27(1): Inaruhusu usaidizi wa kimataifa katika kesi za rushwa na uhujumu uchumi.
4. Cap. 200, Section 12(1): Inaruhusu upelelezi na urejeshaji wa watuhumiwa kutoka nje ya nchi kwenye makosa ya uhujumu uchumi.

Sheria ya Marekani (Title 18, USC § 3181–3196): Marekani inaruhusu extradition kwa misingi ya mkataba kati yake na nchi nyingine. Tanzania na Marekani zina mkataba wa usaidizi wa kisheria (Mutual Legal Assistance Treaty - MLAT), unaoruhusu kurudisha watuhumiwa ikiwa kuna ushahidi wa kutosha na makosa hayo yanatambuliwa na pande zote.
Mnadhani marekani ni sawa na matako yenu, kuyaliza mbwata kila mjisikiapo.
 
1. Extradition Act, Cap. 368 (Tanzania): Kosa lazima liwe la jinai pia katika nchi anakoishi mtuhumiwa (dual criminality).
Sheria zetu Haziruhusu uraia pacha. Kuwa uraia pacha ni kufuata uraia wa Tanzania. Sasa kama Ina semwa huyu ni raia wa US....analetwaje kushtakiwa huku..?..

Akiweza kuletwa basi serikali itumie precedence hiyo... Kuwaleta nchini na kuwashitaki waliotorosha vidudu vya korona kutoka maabala na kisha kufika nchi na kuua watu. Wasipo Fanya hivyo, itaonekana walikuwa na maslahi na watoroshaji!!!!
 
Sheikh Sharif Majini na Master Tindwa walipigwa risasi je na wao walikua nao walichoma gas station na miundo mbinu ya serikali?

Je katika sheria za kitanzania mtu anayechoma miundombinu ya serikali adhabu yake ni kupigwa risasi hadi kifo?

Labda wanastahili nishani ya upumbavu na ukatili na itakua ni division IV zilizoshindikana maana katika course za polisi duniani kuna somo la public order and public safety wanafunzwa crowd control methods.

Hawa washenzi wamempa sasa aliyewatuma nishani ya mhalifu wa kimataifa anayesubiri amri ya kukamatwa kutoka mahakama ya kimataifa ya uhalifu.
Unakabiliana vipi na wale mahayawani waliokuwa wanachoma vituo vya Polisi, Ofisi za Mahakama, TRA?? Unafanyaje na magenge ya wachoma moto mabasi na vituo vya Mwendokasi?

Una bunduki halafu unataka kubembeleza watu wanachoma vituo vya mafuta, wanaiba mali za watu kwenye maduka?

Je unajuwa kuwa walijaribu kutaka kuchoma kituo cha kupozea umeme cha TANESCO Ubungo??

Acheni akili za kindezi, risasi za moto ndiyo zimeokoa nchi isiteketee
 
Master Tindwa na Sheikh Sharif majini walichoma gas station ngapi, na ofisi ngapi na wahusika wa genge lao walikua wangapi?

Kwahiyo sheria za Tanzania zinasema ukishakua na bunduki mtu akionyesha nia ya uovu unafyatua tu??

Tunaomba ushahidi wa video kwa watu walioenda kuchoma kituo cha umeme cha TANESCO ninaamini pale kuna CCTV , sisi tunazo video za polisi wakipiga risasi watu wasio na silaha basi wekeni na hii ya madai watu walitaka kwenda kuchoma eneo la TANESCO.

Akili za kindezi mnazo nyie mlioua watu wasiokua na silaha.
 
Polisi wamefundishwa kuwakamata kwa mbinu za medani na kuwapeleka mahakamani wahalifu wote,
 
It goes without say kuwa without intervention ya Polisi na JWTZ pengine hapa ungekuwa haupo kuandika hizi pumba. Yale magenge yalikuwa reckless they burn anything, they steal anything and walikuwa unstoppable except kwa risasi za moto tu
 
Father​

Mithali 27:22 SRUVDC​

Hata ukimtwanga mpumbavu kwa mchi kinuni pamoja na ngano; Upumbavu wake hautamtoka.
Mithali 26:27 Achimbaye shimo atatumbukia mwenyewe; Naye abingirishaye jiwe litamrudia.
 
Polisi wamefundishwa kuwakamata kwa mbinu za medani na kuwapeleka mahakamani wahalifu wote,
Ni mbinu gani za medani utazotumia dhidi ya yale magenge ya kuchoma ma petrol station??
 
Mtuhumiwa anaweza kurejeshwa Tanzania kutoka nje ya nchi kwa makosa makubwa kama uhujumu uchumi, rushwa, ugaidi, au mauaji endapo masharti ya kisheria yatatimia:

1. Extradition Act, Cap. 368 (Tanzania): Kosa lazima liwe la jinai pia katika nchi anakoishi mtuhumiwa (dual criminality).
2. First Schedule ya Cap. 368: Kosa liwe miongoni mwa makosa yanayokubaliwa kimataifa kwa ajili ya kurudisha watuhumiwa.
3. Cap. 329, Section 27(1): Inaruhusu usaidizi wa kimataifa katika kesi za rushwa na uhujumu uchumi.
4. Cap. 200, Section 12(1): Inaruhusu upelelezi na urejeshaji wa watuhumiwa kutoka nje ya nchi kwenye makosa ya uhujumu uchumi.

Sheria ya Marekani (Title 18, USC § 3181–3196): Marekani inaruhusu extradition kwa misingi ya mkataba kati yake na nchi nyingine. Tanzania na Marekani zina mkataba wa usaidizi wa kisheria (Mutual Legal Assistance Treaty - MLAT), unaoruhusu kurudisha watuhumiwa ikiwa kuna ushahidi wa kutosha na makosa hayo yanatambuliwa na pande zote.
Fedha za Abdul zinawatoa watu Akili ,Fedha Chafu zimetembelea watu waliokuwa Great thinkers saa ni Great Sinkers! Inasikitisha Sana! Kesi inafunguliwa ya uhujumu uchumi bila mtuhumiwa kukamatwa!! FUtuhiiiiii ndiyo ni FUTUHI.

Mwambie Abdul na AG kwamba mange ni raia wa marekani ,hawawezi kumleta raia wao huku wakijua ataenda kuuliwa ,halafu huo uhujumu uchumi gani aliofanya? App katengeneza yeye na yupo USA watu wanalipia na bank yake account mmeifreeze ambayo ilikuwa na 100millions Tsh na yeye akiwafungulia kesi je?
 
Kadai hela yako kwenye shule ya sheria uliyosomea.
Mjibu kwa hoja yeye ametoa hoja sasa wewe kama unapinga hoja yake toa na wewe vifungu vya sheria tofauti na hivyo. Huo ndio uungwana ili wanaJF wajifunze pia kutoka kwako.
 
Back
Top Bottom