Dah 🤣🤣Kadai hela yako kwenye shule ya sheria uliyosomea.
Huwezi kuwa serious kwa kutazama record kwenye mahakama hizi za simu moja. Ongelea mengine ila sio record kutoka kwenye mahakama hizi.Mnamjua Kibatala tu ndiyo Wakili nguli? Lol nenda kaangalie record za Mahakama ni kesi ngapi ameshindwa
Umesema jaribio feki la mapinduzi, basi ume justify kwa nini alishindwa kumpata yule mpinzani wake ambaye ni mmlliki wa shule za Feza piaRecep Tayyip Erdogan mwenzenu alitengeneza hata jaribio fake la Mapinduzi ili kumpata mpinzani wake anayeishi USA lakini mpaka leo hii hajafanikiwa unafikiri Turkey na Zanzibar ni yupi kati yao anaeweza kuwashawishi waamerika (zingatia Wanaomuhitaji mange kwa sasa ni wazanzibari si watanganyika)
Sasa kama waliweza kufahamu kuwa Erdogan amejitengenezea Mapinduzi fake we unadhani ninyi wazanzibari mnaweza kuwadanganya ya kuwa Mange ni gaidi au ni mhujumu uchumiUmesema jaribio feki la mapinduzi, basi ume justify kwa nini alishindwa kumpata yule mpinzani wake ambaye ni mmlliki wa shule za Feza pia
Pamoja na kuwa sheria hiyo ipo, lakini tatizo na kikwazo kitakachofanya dhamira na nia yenu ovu ishindwe ni kimoja tu👇Mtuhumiwa anaweza kurejeshwa Tanzania kutoka nje ya nchi kwa makosa makubwa kama uhujumu uchumi, rushwa, ugaidi, au mauaji endapo masharti ya kisheria yatatimia:
1. Extradition Act, Cap. 368 (Tanzania): Kosa lazima liwe la jinai pia katika nchi anakoishi mtuhumiwa (dual criminality).
2. First Schedule ya Cap. 368: Kosa liwe miongoni mwa makosa yanayokubaliwa kimataifa kwa ajili ya kurudisha watuhumiwa.
3. Cap. 329, Section 27(1): Inaruhusu usaidizi wa kimataifa katika kesi za rushwa na uhujumu uchumi.
4. Cap. 200, Section 12(1): Inaruhusu upelelezi na urejeshaji wa watuhumiwa kutoka nje ya nchi kwenye makosa ya uhujumu uchumi.
Sheria ya Marekani (Title 18, USC § 3181–3196): Marekani inaruhusu extradition kwa misingi ya mkataba kati yake na nchi nyingine. Tanzania na Marekani zina mkataba wa usaidizi wa kisheria (Mutual Legal Assistance Treaty - MLAT), unaoruhusu kurudisha watuhumiwa ikiwa kuna ushahidi wa kutosha na makosa hayo yanatambuliwa na pande zote.
Mtuhumiwa anaweza kurejeshwa Tanzania kutoka nje ya nchi kwa makosa makubwa kama uhujumu uchumi, rushwa, ugaidi, au mauaji endapo masharti ya kisheria yatatimia:
1. Extradition Act, Cap. 368 (Tanzania): Kosa lazima liwe la jinai pia katika nchi anakoishi mtuhumiwa (dual criminality).
2. First Schedule ya Cap. 368: Kosa liwe miongoni mwa makosa yanayokubaliwa kimataifa kwa ajili ya kurudisha watuhumiwa.
3. Cap. 329, Section 27(1): Inaruhusu usaidizi wa kimataifa katika kesi za rushwa na uhujumu uchumi.
4. Cap. 200, Section 12(1): Inaruhusu upelelezi na urejeshaji wa watuhumiwa kutoka nje ya nchi kwenye makosa ya uhujumu uchumi.
Sheria ya Marekani (Title 18, USC § 3181–3196): Marekani inaruhusu extradition kwa misingi ya mkataba kati yake na nchi nyingine. Tanzania na Marekani zina mkataba wa usaidizi wa kisheria (Mutual Legal Assistance Treaty - MLAT), unaoruhusu kurudisha watuhumiwa ikiwa kuna ushahidi wa kutosha na makosa hayo yanatambuliwa na pande zote.
Hamna kitu hapo, just wishfulMtuhumiwa anaweza kurejeshwa Tanzania kutoka nje ya nchi kwa makosa makubwa kama uhujumu uchumi, rushwa, ugaidi, au mauaji endapo masharti ya kisheria yatatimia:
1. Extradition Act, Cap. 368 (Tanzania): Kosa lazima liwe la jinai pia katika nchi anakoishi mtuhumiwa (dual criminality).
2. First Schedule ya Cap. 368: Kosa liwe miongoni mwa makosa yanayokubaliwa kimataifa kwa ajili ya kurudisha watuhumiwa.
3. Cap. 329, Section 27(1): Inaruhusu usaidizi wa kimataifa katika kesi za rushwa na uhujumu uchumi.
4. Cap. 200, Section 12(1): Inaruhusu upelelezi na urejeshaji wa watuhumiwa kutoka nje ya nchi kwenye makosa ya uhujumu uchumi.
Sheria ya Marekani (Title 18, USC § 3181–3196): Marekani inaruhusu extradition kwa misingi ya mkataba kati yake na nchi nyingine. Tanzania na Marekani zina mkataba wa usaidizi wa kisheria (Mutual Legal Assistance Treaty - MLAT), unaoruhusu kurudisha watuhumiwa ikiwa kuna ushahidi wa kutosha na makosa hayo yanatambuliwa na pande zote.
Kwa taarifa yako, Mange hawezi kuletwa au kukamatwa. Hana kosa lolote, Mmejaribu Mexican Cartel mmeshindwa sasa mnajaribu ufala wenu mwingine......Haiwezekani, mna serikali ya kijinga sana, inaongozwa na form IV failures na watu ambao elimu zao zinafanana na za Madrassa>Yaani unawaza kumfuata Mange maelfu ya maili wakati hajaua hata siafu huku hawa washenzi walioua maelfu ya watanganyika ambao mmewazika katika makaburi ya hailiki mko nao hapo Tanzania.
View attachment 3512099View attachment 3512100View attachment 3512103
Subiri kwanza twende taratibu umesema Marekani na Tanzania wana Mutual Legal assistance treaty (usaidizi kwa kisheria) iyo ni kitu tifauti kabisa na Extradition ili mtu aweze kuletwa vinatakiwa kuwepo vyote..Mtuhumiwa anaweza kurejeshwa Tanzania kutoka nje ya nchi kwa makosa makubwa kama uhujumu uchumi, rushwa, ugaidi, au mauaji endapo masharti ya kisheria yatatimia:
1. Extradition Act, Cap. 368 (Tanzania): Kosa lazima liwe la jinai pia katika nchi anakoishi mtuhumiwa (dual criminality).
2. First Schedule ya Cap. 368: Kosa liwe miongoni mwa makosa yanayokubaliwa kimataifa kwa ajili ya kurudisha watuhumiwa.
3. Cap. 329, Section 27(1): Inaruhusu usaidizi wa kimataifa katika kesi za rushwa na uhujumu uchumi.
4. Cap. 200, Section 12(1): Inaruhusu upelelezi na urejeshaji wa watuhumiwa kutoka nje ya nchi kwenye makosa ya uhujumu uchumi.
Sheria ya Marekani (Title 18, USC § 3181–3196): Marekani inaruhusu extradition kwa misingi ya mkataba kati yake na nchi nyingine. Tanzania na Marekani zina mkataba wa usaidizi wa kisheria (Mutual Legal Assistance Treaty - MLAT), unaoruhusu kurudisha watuhumiwa ikiwa kuna ushahidi wa kutosha na makosa hayo yanatambuliwa na pande zote.
Unaisikia Tembisa kwenye radio sio utaweza kufanya biashara Tembisa au Mamelodi nipo kwenye Usafirishaji Arusha, Tanzania huku nafata Scania XT au G460 na R zake vichwa tu ndio nabeba namshukuru Mungu Vichwa nilivyofata vishafika Nakonde nasubiri kodi tu itoke vilipiwe viende....Kwa vile unauza apples mitaa ya Tembisa Joburg unajiona ume panchi sana
Na wewe kwa nini uingie na kusoma na kujaza sever pia? Mental health is realFanyeni kazi wanaume mpate kande maisha yaendelee hii unasheria wa vichochoroni hawasaidii zaidi ya kujaza tope kwnye servers za.melo hapa! Dume kubwaa jeusi lenye misuli lipo busy kufuatilia kidada chenye cause yake na kina maisha yake kibongobongo unayaota hadi utazikwa
Wapo watu wameajiriwa na wanalipwa na malkia kwa kazi hiyo get life men
Kwani wewe ni Hakimu wa Kisutu? Usijipe umaarufu usiokuwa naoHamna kitu hapo, just wishful
Kwa taarifa yako, Mange hawezi kuletwa au kukamatwa. Hana kosa lolote, Mmejaribu Mexican Cartel mmeshindwa sasa mnajaribu ufala wenu mwingine......Haiwezekani, mna serikali ya kijinga sana, inaongozwa na form IV failures na watu ambao elimu zao zinafanana na za Madrassa>
Extradition siyo treaty bali ni legislation ila exchange ya watuhumiwa inategemea mahusiano ya nchi na nchiSubiri kwanza twende taratibu umesema Marekani na Tanzania wana Mutual Legal assistance treaty (usaidizi kwa kisheria) iyo ni kitu tifauti kabisa na Extradition ili mtu aweze kuletwa vinatakiwa kuwepo vyote..
Jielekeze vizuri kwenye hicho unachotaka kueleza
Kumbe tandiboi kwa sasa. Hongera kwa kubadili kazi.Unaisikia Tembisa kwenye radio sio utaweza kufanya biashara Tembisa au Mamelodi nipo kwenye Usafirishaji Arusha, Tanzania huku nafata Scania XT au G460 na R zake vichwa tu ndio nabeba namshukuru Mungu Vichwa nilivyofata vishafika Nakonde nasubiri kodi tu itoke vilipiwe viende....
-Kasome Kitu kinaitwa RECIPROCITYMtuhumiwa anaweza kurejeshwa Tanzania kutoka nje ya nchi kwa makosa makubwa kama uhujumu uchumi, rushwa, ugaidi, au mauaji endapo masharti ya kisheria yatatimia:
1. Extradition Act, Cap. 368 (Tanzania): Kosa lazima liwe la jinai pia katika nchi anakoishi mtuhumiwa (dual criminality).
2. First Schedule ya Cap. 368: Kosa liwe miongoni mwa makosa yanayokubaliwa kimataifa kwa ajili ya kurudisha watuhumiwa.
3. Cap. 329, Section 27(1): Inaruhusu usaidizi wa kimataifa katika kesi za rushwa na uhujumu uchumi.
4. Cap. 200, Section 12(1): Inaruhusu upelelezi na urejeshaji wa watuhumiwa kutoka nje ya nchi kwenye makosa ya uhujumu uchumi.
Sheria ya Marekani (Title 18, USC § 3181–3196): Marekani inaruhusu extradition kwa misingi ya mkataba kati yake na nchi nyingine. Tanzania na Marekani zina mkataba wa usaidizi wa kisheria (Mutual Legal Assistance Treaty - MLAT), unaoruhusu kurudisha watuhumiwa ikiwa kuna ushahidi wa kutosha na makosa hayo yanatambuliwa na pande zote.
Reciprocity in law is the principle where a country grants legal rights or benefits to foreigners only if that country's own citizens receive similar treatment abroad, acting as a condition for applying foreign laws or recognizing foreign judgments, ensuring mutual respect and equivalent treatment between nations, especially in international private law and treaties. It's a foundational concept for cooperation, allowing states to extend legal protections (like property rights or access to courts) on a conditional, "you scratch my back, I'll scratch yours" basis, preventing discriminatory application of laws.-Kasome Kitu kinaitwa RECIPROCITY
- kingine if accused anaweza kuwa persecuted