Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
Maza anafurahia balaa
Inasikitisha sanaMaisha yanachekesha sana: Pesa ya mmarekani kubaniwa kila mtu kaumia, pesa zetu kuchezewa ni poa. Report ndiyo imeshapita hiyo
Ni hatariDuh aiseee
Inasikitisha saaanaKutokana na report ya CAG ya mwaka 2025 hivi ndivyo mashirika ya Uma yanavyonufaika na 4R za Mh Rais wetu mpendwa.
1.TTCL wao wameona namna nzuri ya kunufaika na 4R za Mh Rais ni kupandisha hasara kutoka billion 4.32 mwaka 2022 hadi billion 27.7 mwaka 2023.
2.TRC wao wameupiga mwingi zaidi na kuitumia vizuri hii fursa ya 4R za Mh Rais Samia na kupandisha hasara kutoka billion 102 mwaka 2022 hadi billion 224 mwaka 2023
3.ATCL Hawa licha ya kununuliwa ndege , kupewa ruzuku na kupewa mazingira mazuri ya kufanya biashara lakini wakaona haitoshi ngoja na wao wasibaki nyuma kwenye fursa ya 4R za Mh Rais wetu, kwa hiyo wakapandisha hasara ya shirika kutoka billion 56.6 ya mwaka 2022 hadi kufikia bilioni 91.8 mwaka 2023
Kama huna biashara za ndani watu wengi wanapanda Terni ya SgR,loss ipo lakini ikulu nayo imekopa mpaka.basiInasikitisha saaana
Tutakoma watanzaniaKama huna biashara za ndani watu wengi wanapanda Terni ya SgR,loss ipo lakini ikulu nayo imekopa mpaka.basi