Namna mbalimbali za jinsi ya kutumia rice cooker

Unaweza kupika/kuchemshia chakula kingine kipi pasipo kuifanyia uharibifu?
Uharibifu lazima utokee, hasa ukipikia vigumu kuiva kuliko wali, jina lake linajieleza ni kwa ajili ya nini, sasa nyinyi mnalazimisha kupika mpaka maharage halafu mnaenda kuwalaumu wenye maduka eti limeungua haraka
 
Inaweza pia kupika vyakula vinavyoiva kwa muda mfupi kuliko wali mfano mboga,kupashia vyakula,chai n.k

Sio matumizi yake sahihi ila kama huna mkaa au gesi inaweza kukusaidia
thanks
 
Naomba picha ya iyo presha cooker unayoiongelea.
 
Unaweza kupika/kuchemshia chakula kingine kipi pasipo kuifanyia uharibifu?
Rice cooker sio kwa ajili ya wali tu, watu tushapikia magimbi, tushapikia maharage, tushapikia mchemsho, tushasongea ugali...[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
 
Haaa...kumbe 😀
 
Mi napikiaga mpaka ugali na makande mzeee baba
 
Ndio hivyo ukitaka kujua rice cooker lina kazi nyingi usiwe na gesi wala mkaa kwako[emoji38][emoji38]

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
Yako haijawahi kuharibika kwa matumizi hayo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…