I wrote "hata kwenye kuni inamudu ila SIJAJARIBU"Kuni utakuwa unaunguza mikono yake emu ikague vizuri presha coocker yako utagundua sehemu za mikono imeanza kama kupukutika(corroded)
Hajambo anakusalimia.Mambo, mumeo hajambo?
Nykooooo!Hajambo anakusalimia.
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]Nykooooo!
Njoo Pm sasa hivi[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Nunua multi cooker ina settings za kupika wali, nyama, cake samaki n. KNdio maana nimeuliza,kama yatakuwepo kwenye orodha nasongesha tu
Hii presha coocker ni nzuri sana. Kwa gesi na mkaa. Ila gesi ndo sana zaidi. Maana gesi ni cheap na efficient zaidi. Ina safety pin kuonyesha kuwa mfuniko upo tayari kwa kufunguliwa kwa usalama wako.Hivi hiyo ya kwenye picha ipoje?huwa siielewagi......ni umeme tu?effectiveness yake ikoje katika matumizi?
Mkuu mbona unakomaa sana wakat hili jukwaa ni huru. Au na ww ndo wale wanaopikia makande kwenye rice coocker nn????Sijaona uliposema kama anashare, umeongea kama vile una uhakika kuwa anashea
Sent using Jamii Forums mobile app
Yoote hayo unayafanya kwa rice coocker sio????????Mimi yangu kila siku napikia wali, pilau biriani.
Na kila maharage nachemshia humo.
Mchemsho wa nyama pia nachemshia humo ikiwa napika supu.
Kwa kweli naishukuru sana maana hata nikiwa sina sh mia ninapika kwanza maharage then naosha sufuria nabandika wali.
Ina miaka mitatu sasa.
Binadamu kwa nini ni wagumu kukiri kuwa ni kweli 'nilikosea, nilipitiwa au nilitekeza'?Mkuu mbona unakomaa sana wakat hili jukwaa ni huru. Au na ww ndo wale wanaopikia makande kwenye rice coocker nn????
Yes na kwa muda wa miaka mitatu.Yoote hayo unayafanya kwa rice coocker sio????????
π π π π π π kama umenisema vileSasa unakuta li mtu linapikia hadi maharage. Coocker inawaka hadi inajizima jitu limooo tuuu linawasha tenaaaa.
duh,sijawahi jua hilo?unaitumia kama hiyo?asante sanaNunua multi cooker ina settings za kupika wali, nyama, cake samaki n. K
Natumia rice coocker kama rice coocker??? Au ni multi coocker??? Tuanzie hapo kwanzaYes na kwa muda wa miaka mitatu.
Kwangu mimi sina pressure cooker na mkaa nawasha mara chache sana nikiwa na wageni sana sana siku za sikukuu hapo nawasha kupikia wali kilo 3 kwenda juu.
Naweza kukaa mwaka sijawasha mkaa kwangu.
Mkombozi rice cooker yangu na jiko la gas.
Maharage nayabandikaa kwa rice cooker yakiiva nayaunga kwenye jiko la gas.
Rice cooker ya kipumbavu sana hii, mfuniko hauchomoki, ufanyaji wake wa usafi ni ngumu sana.Kama rice cooker yako ina ichokitu unaweza fanya steaming unaweka ata kuku apo juu au nyama ina ivaa ayo nimatumizi sahihi pia ya hyoo kituView attachment 1460593View attachment 1460594
Kumbe?basi nami naanza kuwa kama wewe..ushuhuda wako ni wa dhahiri kabisa..thnks for sharing mkuuMimi yangu kila siku napikia wali, pilau biriani.
Na kila maharage nachemshia humo.
Mchemsho wa nyama pia nachemshia humo ikiwa napika supu.
Kwa kweli naishukuru sana maana hata nikiwa sina sh mia ninapika kwanza maharage then naosha sufuria nabandika wali.
Ina miaka mitatu sasa.
asante sana,yangu inayo sikujua matumizi ya hako kakituKama rice cooker yako ina ichokitu unaweza fanya steaming unaweka ata kuku apo juu au nyama ina ivaa ayo nimatumizi sahihi pia ya hyoo kituView attachment 1460593View attachment 1460594
Mimi yangu ni rice cooker mkuu.Natumia rice coocker kama rice coocker??? Au ni multi coocker??? Tuanzie hapo kwanza
Mimi nimeona watu wakitumia.duh,sijawahi jua hilo?unaitumia kama hiyo?asante sana