Hajui kwamba huko site wamejaa kina "shromo" na mataifa mengine ya Ulaya zaidi.Huyu anasifia kuonekana anasifia Tu ila ni mweupe kichwani
Ingekuwa Royol tour imefanya vizuri basi wamarekani wangekuwa like 50% ya wageni waliokuja
Halafu mwambie kabla hajasifia,awaambie wakatengeneze mabarabara mbugani.Unaelewa hoja yetu hapa ni nn?
Wageni wamekuja yes, warussua na Israel wapo kibao yes hakuna ubishi
But hawajashawishiwa na royol tour hoja Iko hapo
Research za Africa ni za kusifia hata visivyo sifika
Nenda site then uone
Hajui kwamba huko site wamejaa kina "shromo" na mataifa mengine ya Ulaya zaidi.
Yeye anatumia takwimu za "NBS" ambao wanachukua toka airports na borders tu.
Bila kujua nini hasa ilikuwa chanzo cha hao wageni.
Agents wao hasa ni wa mataifa gani nk.
NiTanzania haina mlima mkubwa Afrika, bali ina mlima mrefu. Mlima unaweza ukawa mkubwa lakini usiwe mrefu. Hakuna anaye force, nimeleta facts na trajectory ya namba kutoka muda fulani hadi muda fulani, kama una hoja madhubuti, leta tafadhali sipendi hoja nyepesi, kubwa objective tafadhali..
The Highest Peak of Africa "Kilimanjaro "Ni
1. Tallest?
2. Largest?
3. Highest?
The tallest standing on earth.Ni
1. Tallest?
2. Largest?
3. Highest?
Nilipo ona kuna NBS nikaachiliambali kusoma...!National Bureau of Statistics hawana fact kamili za vyanzo vya wageni.
Wao wanakokotoa kutoka kwenye entry points za wageni kama airports na border points.
Hawawezi kujua rasmi nini chanzo cha connection ya hao wageni.
Mtu anayefanya kwenye sekta husika anao uelewa mkubwa wa haya mambo kuliko hao NBS wako,ambao hata Zitto alikwisha waumbua.
Issue hapa sio Wingi wa wageni,bali chanzo cha wageni.
Haiwezekani nchi imejaa waisrael,wajerumani,wafaransa na waingereza kiduchu na hao Americans.
Wewe ukimbilie kuiunganisha na Royal Tour yenu.
Kwanza Royal Tour ili fail ku- perform sababu mama yenu aliacha wataalamu nyuma akajaza kina Abbas,Msigwa na Yunus.
Badala ya watu wa "Mweka College of African Wildlife Management" na "TATO"
Badala ya kwenda na wadau wenyewe wamsaidie kwenye Interview za Royal Tour kwenye zinduzi zake.
Punguzeni U-chawa jamani.
Wakati mnaisifia Royal Tour,unajua hali ya miundombinu ya barabara ilivyoharibika huko mbugani huku serikali ikikaa kimya.
Unajua hata idadi ya watalii waliopoteza maisha yao mpaka sasa kutokana na ajali za Barabarani kutokana na ubovu wake.
Hasa Serengeti?
Usibishane na vilaza wenye chuki..wenye akili tumekuelewaTanzania haina mlima mkubwa Afrika, bali ina mlima mrefu. Mlima unaweza ukawa mkubwa lakini usiwe mrefu. Hakuna anaye force, nimeleta facts na trajectory ya namba kutoka muda fulani hadi muda fulani, kama una hoja madhubuti, leta tafadhali sipendi hoja nyepesi, kubwa objective tafadhali..
Tena ukiangalia utakuta Domestic Tourism imetubeba sana!Siku idadi ya watalii ikizidi idadi ya watalii kabla ya Covid-19 then hapo tunaweza kusema kuna matunda ya Royal Tour...until then hizi nyingine ni ngonjera za Chawa kusifu bila kua na data.
Wewe kuuza kiduka hapo mtaa wa Bondeni Arusha ndio kunakufanya umuite mleta mada mshamba?Yeye kaja na takwimu wewe leta zako zinazozipinga.Acha ushamba.
Akili za watu kama wewe ndo hatari sana...Dubai wanatumia dollars milioni zaidi ya 50 kila mwaka kuitangaza nchi .. unafikiri wao wajinga? Si kila mtu anaijua Dubai?[emoji23] Africa bwana. Utalii wa asili unajitangaza wenyewe ila leo mtu anajitokeza kuforce hapa.
Nakuuliza maswali haya !
Mlima mkubwa hupo wapi africa!
ina maana dunia nzima kwa karne hii atangaze mtu mmoja ndio utalii unaongezeka
Kuna watu chuki imewafanya wawe vipofuWewe kuuza kiduka hapo mtaa wa Bondeni Arusha ndio kunakufanya umuite mleta mada mshamba?Yeye kaja na takwimu wewe leta zako zinazozipinga.
Akili za watu kama wewe ndo hatari sana...Dubai wanatumia dollars milioni zaidi ya 50 kila mwaka kuitangaza nchi .. unafikiri wao wajinga? Si kila mtu anaijua Dubai?
Mna akili za wapi nyinyi?Dubai iliyoumbwa na mungu Ile ya jangwa na joto Kali haipo tena,
Ndio maana kila siku wanatangaza
Kama ulienda Serengeti mwaka 1970 na ukienda Leo mazingira ni Yale yale
Md Gertrude unayosema ni kweli tupu, ila kuna kitu kidogo naomba lukusaidia.Mwaka 2022 sekta ya utalii nchi iliimarika zaidi baada ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu kucheza na kuzindua filamu ya Tanzania: Royal Tour.
Hii ilikuwa ni mara ya kwanza kabisa katika historia ya Taifa letu, ambapo Rais anacheza filamu nzima, tena kama muhusika mkuu katika harakati za kuendeleza sekta ya utalii.
Katika ya utalii ni sekta ni muhimu sana kwenye uchumi wa Taifa letu, ni sekta ya kuvalia njuga hasa kwani ni sekta ambayo inaliingizia Taifa dola bilioni 2 za kimarekani kwa mwaka, sawa ni Tsh trilioni 4.6 za kitanzania.
Kupitia filamu hii, Tanzania itazamia kupokea watalii milioni tano kwa mwaka ifikapo 2025 kutoka watalii takribani milioni mbili kwa sasa. Pia Tanzania inategemea kuingia USD bilioni 6 kwa mwaka, sawa na Tsh 13.8 za kitanzania kwa mwaka, kutoka trilioni 4.6 kwa sasa.
Idara ya Takwimu ya Taifa (NBS) inaonesha kati ya Jan - Oct 2022 watalii 1,175,697 wameingia nchini, tofauti na watalii 716,741 wa kipindi kama hicho mwaka 2021, ambapo ongezeko hilo ni sawa na 64%.
NBS inasadiki ya kwamba ongezeko la watalii nchini ni matokeo ya filamu ya Royal Tour, mfano kwa mwezi Octoba 2022 tu, walii walioingia nchini walikuwa ni 141,517 tofauti na 92,345 kipindi kama hicho 2021, ambapo ni sawa na 53.2%.
Kutoka Ulaya, Tanzania imepokea watalii wengi zaidi kutoka Ufaransa (12,553), Marekani (9,097), Germany 98,874), UK (6,614) na Italy (4,557).
Watalii hao katika mahojiano mbalimbali wakisadiki ya kwamba wao ni mara ya kwanza kuingia Tanzania, na wamevutiwa zaidi kutembelea Tanzania baada ya kutazama filamu ya Royal Tour.
Filamu ya Royal Tour bado inazidi kuoneshwa katika kumbi za sinema kwenye mataifa mbalimbali, huko mabalozi wetu wanafanya kazi kubwa kuhakikisha hilo. Sept 2022 ilioneshwa Sweden, na inazidi kuoneshwa zaidi kwenye nchi za Scandinavia.
Pia inatarajiwa kuanza kuoneshwa kwenye nchi kama Latvia, Finland, Denmark, Iceland, Lithuania, Estonia na nyingine nyingi za bara la Ulaya.
Filamu ya Royal Tour ni legacy ya Rais Samia Suluhu itakayoishi milele, faida zake hazitoishia kwakwe tu, bali hata kwa viongozi wajao, watakuwa na wepesi katika kuutangaza utalii wetu, kwani barabara imara itakuwa tayari imeshachongwa mtangulizi wao, Mh Rais Samia Suluhu.
Mna akili za wapi nyinyi?
Walioenda Serengeti mwaka 1970 bado wako hai wote?na hawa waliozaliwa mwaka 2000 wote waliona tangazo mwaka 1970?
Kenya ambao hawajafanya ROYAL tuwa kasi ya ukuaji wa utalii wao ikoje, Vipi kuhusu ukuaji wa utalii wa EGYPT ambao hawajafanya ROYAL tuwa?Mwaka 2022 sekta ya utalii nchi iliimarika zaidi baada ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu kucheza na kuzindua filamu ya Tanzania: Royal Tour.
Hii ilikuwa ni mara ya kwanza kabisa katika historia ya Taifa letu, ambapo Rais anacheza filamu nzima, tena kama muhusika mkuu katika harakati za kuendeleza sekta ya utalii.
Katika ya utalii ni sekta ni muhimu sana kwenye uchumi wa Taifa letu, ni sekta ya kuvalia njuga hasa kwani ni sekta ambayo inaliingizia Taifa dola bilioni 2 za kimarekani kwa mwaka, sawa ni Tsh trilioni 4.6 za kitanzania.
Kupitia filamu hii, Tanzania itazamia kupokea watalii milioni tano kwa mwaka ifikapo 2025 kutoka watalii takribani milioni mbili kwa sasa. Pia Tanzania inategemea kuingia USD bilioni 6 kwa mwaka, sawa na Tsh 13.8 za kitanzania kwa mwaka, kutoka trilioni 4.6 kwa sasa.
Idara ya Takwimu ya Taifa (NBS) inaonesha kati ya Jan - Oct 2022 watalii 1,175,697 wameingia nchini, tofauti na watalii 716,741 wa kipindi kama hicho mwaka 2021, ambapo ongezeko hilo ni sawa na 64%.
NBS inasadiki ya kwamba ongezeko la watalii nchini ni matokeo ya filamu ya Royal Tour, mfano kwa mwezi Octoba 2022 tu, walii walioingia nchini walikuwa ni 141,517 tofauti na 92,345 kipindi kama hicho 2021, ambapo ni sawa na 53.2%.
Kutoka Ulaya, Tanzania imepokea watalii wengi zaidi kutoka Ufaransa (12,553), Marekani (9,097), Germany 98,874), UK (6,614) na Italy (4,557).
Watalii hao katika mahojiano mbalimbali wakisadiki ya kwamba wao ni mara ya kwanza kuingia Tanzania, na wamevutiwa zaidi kutembelea Tanzania baada ya kutazama filamu ya Royal Tour.
Filamu ya Royal Tour bado inazidi kuoneshwa katika kumbi za sinema kwenye mataifa mbalimbali, huko mabalozi wetu wanafanya kazi kubwa kuhakikisha hilo. Sept 2022 ilioneshwa Sweden, na inazidi kuoneshwa zaidi kwenye nchi za Scandinavia.
Pia inatarajiwa kuanza kuoneshwa kwenye nchi kama Latvia, Finland, Denmark, Iceland, Lithuania, Estonia na nyingine nyingi za bara la Ulaya.
Filamu ya Royal Tour ni legacy ya Rais Samia Suluhu itakayoishi milele, faida zake hazitoishia kwakwe tu, bali hata kwa viongozi wajao, watakuwa na wepesi katika kuutangaza utalii wetu, kwani barabara imara itakuwa tayari imeshachongwa mtangulizi wao, Mh Rais Samia Suluhu.
Yes, the tollest free standing mt. on earthThe tallest standing on earth.
Kitu kama hujui unyamazeSerengeti inatangaza nyumba wameongezeka?