inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Kwa hiyo NBS waongo!??..kwa ujuaji watzuko kwenye secta ya utalii? au unaongea tu kujifurahisha?
mambo ambayo yanaitaji fact better ukafanya research usije kuonekana unaongea pumba tu
niko kwenye hiyo secta so najua what im talking
98% ya wageni ambao wanakuja tanzania walifanya maamuzi ya kuja 2yrs Back and not mwez mmoja au week moja kama ww unavyoamua kwenda kwenu
lengo lako ni kusifia sasa kama unataka kusifia kitu usijifanye mjuaji
Kwa hiyo NBS waongo!??..kwa ujuaji watz
Muwe mnaacha ujinga mbuzi nyietaasisi nyingi za kisiasa ni za kumfurahisha kiongozi, no wonder ukasikia resersch zinasema hosp zote zina xray but nenda site ukaone, hata panado hakuna
ukitaka kuamini njoo site, ongea na watalii, wahoji utashangaa,
warussia wengi au wote waliokuja hata kizungu hawajui then unasemaje Royo Tour documentary ndio imewafanya waje?
impact ya hiyo documentary tutaiona this time
Muwe mnaacha ujinga mbuzi nyie
Mjinga uliyezeeka,na takwimu za sensa huzitaki!?..zimekaa kisiasa,au unachagua Cha kukubali na kukataa!?soma kwanza umri wa kujiunga JF, usidhani uko badoo hapa au facebook
Mjinga uliyezeeka,na takwimu za sensa huzitaki!?..zimekaa kisiasa,au unachagua Cha kukubali na kukataa!?
Fafanua please...uandishi Kwa maana ya wapi pa kuweka nukta na wapi space au Una maana nnayo andika mengi hayavutii since ni Pro Samia?.sipingi serikali kama zamani?Nje ya mada..
The Boss huu uandishi hauvutii kwa asiyejua kujifunza.
Siku hizi umetoka nje sana ya aina ya uandishi wa busara uliokuwa unautumia.
Ungesoma Uzi vizuri na siyo kukurupukia komentisensa si kila mtu kahesabiwa?
so unataka kusema na hao wageni waliulizwa kama sensa na jibu likawa wamejua tz kupitia royol tour?
Ungesoma Uzi vizuri na siyo kukurupukia komenti
Mwaka 2022 sekta ya utalii nchi iliimarika zaidi baada ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu kucheza na kuzindua filamu ya Tanzania: Royal Tour.
Hii ilikuwa ni mara ya kwanza kabisa katika historia ya Taifa letu, ambapo Rais anacheza filamu nzima, tena kama muhusika mkuu katika harakati za kuendeleza sekta ya utalii.
Katika ya utalii ni sekta ni muhimu sana kwenye uchumi wa Taifa letu, ni sekta ya kuvalia njuga hasa kwani ni sekta ambayo inaliingizia Taifa dola bilioni 2 za kimarekani kwa mwaka, sawa ni Tsh trilioni 4.6 za kitanzania.
Kupitia filamu hii, Tanzania itazamia kupokea watalii milioni tano kwa mwaka ifikapo 2025 kutoka watalii takribani milioni mbili kwa sasa. Pia Tanzania inategemea kuingia USD bilioni 6 kwa mwaka, sawa na Tsh 13.8 za kitanzania kwa mwaka, kutoka trilioni 4.6 kwa sasa.
Idara ya Takwimu ya Taifa (NBS) inaonesha kati ya Jan - Oct 2022 watalii 1,175,697 wameingia nchini, tofauti na watalii 716,741 wa kipindi kama hicho mwaka 2021, ambapo ongezeko hilo ni sawa na 64%.
NBS inasadiki ya kwamba ongezeko la watalii nchini ni matokeo ya filamu ya Royal Tour, mfano kwa mwezi Octoba 2022 tu, walii walioingia nchini walikuwa ni 141,517 tofauti na 92,345 kipindi kama hicho 2021, ambapo ni sawa na 53.2%.
Kutoka Ulaya, Tanzania imepokea watalii wengi zaidi kutoka Ufaransa (12,553), Marekani (9,097), Germany 98,874), UK (6,614) na Italy (4,557).
Watalii hao katika mahojiano mbalimbali wakisadiki ya kwamba wao ni mara ya kwanza kuingia Tanzania, na wamevutiwa zaidi kutembelea Tanzania baada ya kutazama filamu ya Royal Tour.
Filamu ya Royal Tour bado inazidi kuoneshwa katika kumbi za sinema kwenye mataifa mbalimbali, huko mabalozi wetu wanafanya kazi kubwa kuhakikisha hilo. Sept 2022 ilioneshwa Sweden, na inazidi kuoneshwa zaidi kwenye nchi za Scandinavia.
Pia inatarajiwa kuanza kuoneshwa kwenye nchi kama Latvia, Finland, Denmark, Iceland, Lithuania, Estonia na nyingine nyingi za bara la Ulaya.
Filamu ya Royal Tour ni legacy ya Rais Samia Suluhu itakayoishi milele, faida zake hazitoishia kwakwe tu, bali hata kwa viongozi wajao, watakuwa na wepesi katika kuutangaza utalii wetu, kwani barabara imara itakuwa tayari imeshachongwa mtangulizi wao, Mh Rais Samia Suluhu.
Ulimaanisha comparative analysis? That aside, unaonesha wewe ni mwandika chochote utalii sio fani yako.Kwa kile nilichokusudia kuandika, sikuwa na ulazima wa kufanya comparison analysis.
Tatizo humu wengi mnawaza siasa!Nimeisoma hoja yako imejaa hisia tu, haina fact hata moja. Mimi nimeandika baada ya kusoma ripoti ya NBS, itafute kwenye website yao uisome na wewe next time uache kuandika kwa mihemko. Tuambie kati ya watalii milioni 1.1 walioingia Tanzania kati ya Jan - Oct 2022, ni wangapi walibook kabla ya Kovid-19? Wengi humu kwa sababu tu wanafanya kazi kwenye kampuni ya utalii wamejipa mamlaka ya kuzungumzia sekta ya utalii hata kama hawa facts za msingi za kutetea hoja zao. Ujinga sana.
Tatizo humu wengi mnawaza siasa!
Unaposema hisia una maanisha nini?
Kwamba NBS hawajui chanzo cha booking za wageni,bali wanachojua ni idadi tu!
(je hii ni hisia?)
Kwamba wageni unaowahusisha na Royal Tour sio sahihi,sababu ni prior bookings nayo ni husia?
Kwamba miundombinu ya mabarabara ni mibovu na haikarabatiwi kwa wakati.
Jambo ambalo linappelekea ajali nyingi na kupoteza uhai wa baadhi ya wageni.
Pia hii unanijibu kiuhuni uhuni kwamba wageni hufa popote hata mlima Everest!
Hivi unajua complaint za insurance wanazolipa baadhi ya travel agents kutokana na matukio kama hayo?
Tunaposema miondombinu mibovu hatumaanishi Lami,bali mashimo na makorongo kwenye hizo Barabara za vumbi.
Tunaongea live events toka site.tunajua mlolongo wa upatikanaji wa wageni.
Tofauti na wewe unaeamini katika Royal tour .
Tanzania imekuwa ikitangazwa na wadau kwa muda mrefu,tena kwenye Documentary za nguvu na utaalamu wa hali ya juu,kuliko hiyo story yenu ya kisiasa ya Peter Greenberg.
Nenda YouTube na National Geographic utanielewa.
Au nenda TripAdvisor na Safari bookings utanielewa.
Royal Tour haiwezi hata kuisogelea Filamu ya Alan Root na Michael Grizmek ya "Serengeti Shall not Die"
Tunapoongea hatufanyi uchawa,tunaongea facts
K ukweli Mama kwenye Royal Tour aliupiga mwingi.Wahusika wa Utalii wanaelewa zaidi
Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Chawa kazini.Mwaka 2022 sekta ya utalii nchi iliimarika zaidi baada ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu kucheza na kuzindua filamu ya Tanzania: Royal Tour.
Hii ilikuwa ni mara ya kwanza kabisa katika historia ya Taifa letu, ambapo Rais anacheza filamu nzima, tena kama muhusika mkuu katika harakati za kuendeleza sekta ya utalii.
Katika ya utalii ni sekta ni muhimu sana kwenye uchumi wa Taifa letu, ni sekta ya kuvalia njuga hasa kwani ni sekta ambayo inaliingizia Taifa dola bilioni 2 za kimarekani kwa mwaka, sawa ni Tsh trilioni 4.6 za kitanzania.
Kupitia filamu hii, Tanzania itazamia kupokea watalii milioni tano kwa mwaka ifikapo 2025 kutoka watalii takribani milioni mbili kwa sasa. Pia Tanzania inategemea kuingia USD bilioni 6 kwa mwaka, sawa na Tsh 13.8 za kitanzania kwa mwaka, kutoka trilioni 4.6 kwa sasa.
Idara ya Takwimu ya Taifa (NBS) inaonesha kati ya Jan - Oct 2022 watalii 1,175,697 wameingia nchini, tofauti na watalii 716,741 wa kipindi kama hicho mwaka 2021, ambapo ongezeko hilo ni sawa na 64%.
NBS inasadiki ya kwamba ongezeko la watalii nchini ni matokeo ya filamu ya Royal Tour, mfano kwa mwezi Octoba 2022 tu, walii walioingia nchini walikuwa ni 141,517 tofauti na 92,345 kipindi kama hicho 2021, ambapo ni sawa na 53.2%.
Kutoka Ulaya, Tanzania imepokea watalii wengi zaidi kutoka Ufaransa (12,553), Marekani (9,097), Germany 98,874), UK (6,614) na Italy (4,557).
Watalii hao katika mahojiano mbalimbali wakisadiki ya kwamba wao ni mara ya kwanza kuingia Tanzania, na wamevutiwa zaidi kutembelea Tanzania baada ya kutazama filamu ya Royal Tour.
Filamu ya Royal Tour bado inazidi kuoneshwa katika kumbi za sinema kwenye mataifa mbalimbali, huko mabalozi wetu wanafanya kazi kubwa kuhakikisha hilo. Sept 2022 ilioneshwa Sweden, na inazidi kuoneshwa zaidi kwenye nchi za Scandinavia.
Pia inatarajiwa kuanza kuoneshwa kwenye nchi kama Latvia, Finland, Denmark, Iceland, Lithuania, Estonia na nyingine nyingi za bara la Ulaya.
Filamu ya Royal Tour ni legacy ya Rais Samia Suluhu itakayoishi milele, faida zake hazitoishia kwakwe tu, bali hata kwa viongozi wajao, watakuwa na wepesi katika kuutangaza utalii wetu, kwani barabara imara itakuwa tayari imeshachongwa mtangulizi wao, Mh Rais Samia Suluhu.
Kama umetazama Royal Tour kwenye Amazon+ ukasoma na reviews, ndio utajua namna gani watu wamevutika kuja Tanzania baada ya Royal Tour. Bila kificho tena kwa facts kabisa, Royal Tour imesaidia sana kuongeza idadi ya watalii, kuna ongezeko la asilimia zaidi ya 60% kati ya Jan - Oct 2022, sasa hapo unataka kusema wote hao wali book kabla?