Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Inabidi afikishwe polisi na apelekwe mahakamani yeye na hao mashahidi kwa sababu mke siyo bidhaa na haina tofauti na biashara ya utumwa.Salamu wana jamvi...
Baada ya salaam niende moja kwa moja kwenye Mada
Kijana mmoja anaefahamika kwa Jina la Maziku kutoka Kibaha alichukua maamuzi ya kumuweka mke wake bond ikiwa tu timu ya Simba itaweza kuifunga timu ya Yanga.
Tukio hilo lilifanyika mbele ya mashahidi kabla ya mechi ya Yanga vs Simba kuanza, wakasainishana na mashahidi wakiwepo ambao nao pia walisaini.
Baada ya mechi kuisha na matokea yakasoma Yanga imeweza kuishinda Simba, bwana Maziku alichukua maamuzi magumu ya kwenda kukabidhi mke wake kwa mtani wake bila kubisha.
Inavyosemekana kwa sasa bwana Maziku yupo single.
Swali
Je! Ni kitu gan unaweza kuweka km bond kwenye ushabiki wa hizi derby za Simba na Yanga?
Ni udhalilishaji na unyanyasaji na inapingana na misingi ya utu na haki za binadamu