Niwape tu angalizo. Kamwe usihusishe mapenzi na vitu visivyo vya msingi. Imemkuta jirani yangu. Hii ni baada ya yeye na jirani mwenzake kuwaweka bond wake zao ilihali na wanawake wenyewe wanalijua hilo, na kushilikishwa katika makubaliano hayo. Uzuri kila mwanamke alikuwa shabiki wa timu ya mumewe. Pia mashahidi wa tukio la makubaliano tulikuwa mahali pale. Na mechi nzima tumeitazama tukiwa ndani ya sebule ya huyu jilani upande wa Yanga.
Matokeo ndo hayo kama mlivyoyaona. Hakukuwa na namna. Imembidi huyu mume, shabiki wa simba kukubali matokeo kisha kushuhudia mkewe akienda kuchakatwa mbususu na shabiki huyo wa Yanga kwa makubaliano ya lisaa limoja kama walivyoahidiana, wakati huo mke wa mchakataji akiridhia jambo hilo kwa moyo mweupe ndani ya chumba chake anacholala yeye na mumewe. [emoji23][emoji23] Hii dunia ina mambo asikwambie mtu. Mke wa shabiki huyo wa simba ameingizwa chumbani humo huku machozi ya timu yake kushindwa yakimmiminikia usoni, muda huo anaenda kuugulia maumivu ya mkuyenge!
Ndivyo ilivyokuwa.
Tusihusishe masuala ya ushabiki wa mpira kwenye mahusiano!
[emoji41][emoji41]