Sweet16
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 5,314
- 9,215
Chai kaeka kitunguu swaum na pilipili basi ata haielewekiChai umepika vibaya ☕️ 🫖
hiyo bet unatakiwa utoe laki wewe kajitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chai kaeka kitunguu swaum na pilipili basi ata haielewekiChai umepika vibaya ☕️ 🫖
hiyo bet unatakiwa utoe laki wewe kajitu
😅 au sio, how did it go?Laki sijatoa na Utamu naenda pataa [emoji1787][emoji1787]
Ushabiki wa mpira wa miguu hasa wa timu hizi zenye utani wa jadi sio wa kawaida!Haiingii akilini mtu na mpenzi wake tena man mahaba ya dhati uchakate kitu ingine mbele yake so bora mgeweka pesa
Niwape tu angalizo. Kamwe usihusishe mapenzi na vitu visivyo vya msingi. Imemkuta jirani yangu. Hii ni baada ya yeye na jirani mwenzake kuwaweka bond wake zao ilihali na wanawake wenyewe wanalijua hilo, na kushilikishwa katika makubaliano !
[emoji41][emoji41]
Haya ndio mambo sasa ...burudani ya mpira inaendana na burudani ya mbususuNiwape tu angalizo. Kamwe usihusishe mapenzi na vitu visivyo vya msingi. Imemkuta jirani yangu. Hii ni baada ya yeye na jirani mwenzake kuwaweka bond wake zao ilihali na wanawake wenyewe wanalijua hilo, na kushilikishwa katika makubaliano hayo. Uzuri kila mwanamke alikuwa shabiki wa timu ya mumewe. Pia mashahidi wa tukio la makubaliano tulikuwa mahali wenye mahusiano!
[emoji41][emoji41]