Ushabiki wa mpira wa miguu hasa wa timu hizi zenye utani wa jadi sio wa kawaida!
Watu wanachafukwa hadi nafsi, picha lilikuwa kabla ya mpira kuanza, kila mtu aliitambia timu yake na machozi juu, wakafikia hatua ya kutaka kuzipiga! Tukawaamua, ndipo kati yetu, mmoja akaleta hiyo suggestion, ikapitishwa na wahusika, tena bila kipingamizi, tukawasainisha pale, tukasubiri qarma izungumze! Mke wa mtu kaliwa hivihivi. Halafu wake wote sio wabobevu kwenye ndoa. Watoto wao wakubwa ni 4yrs kwa 6yrs, Simba na Yanga!