Hebu wewe mrundi jifunze kuandika kiswahili fasaha kwanza ndiposa urudi hapa! 🤣 🤣Hio ndo imebakia saivi kuzushiana uongo eti frani anaumwa mala frani huyu nae anaumwa kwani kuugua CK hizi ni dhambi? Maladhi ni kawaida Kwa binamu.tumekuwa na roho mbaya yakutakiana mabaya hivi roho za hivi tumezitoa wapi haraka haraka Ivo?
Watu waliuwa hadi mitume kisa wanawaeleza habari za Mungu na hata huyo Mungu mwenyewe hapendwi na wote.Lakini kwanini watu wakuombea mabaya? Tujifunze kuishi vizuri na watu vyeo ni vya kupita lakini ubinadamu utabaki.
Awamu iliyopita ilijaribu kumfurahisha kila mtu na matokeo yake ikaitwa dhaifu.Ni kweli, lakini kwanini iwe awamu yangu tu ndiyo inaombewa mabaya na wakati na awamu zingine nazo zilikuwa na binadamu mkuu?
Ile kitu serkali ya Kenya imehusika na ndio maana magazeti na tv zao zimeandika mno.Hajui huyo kwamba Daily Nation kwa mfano ni gazeti lenye heshima zote nchini kenya.
Nyerere hakufa 14.109-3-2021
Muhimu sana kwa taifa lenu
Unadhani wajinga wasifate kuhakikisha?Magazeti ya kenya yamesema aliyosema lissu,mi kama vile wamemsemea(kumshtaki) kwa mamlaka,labda kwa nia njema au mbaya,lissu amekoroga sana hapa!
Natamani siku moja nikuelewe!Madikteta wote baba yao ni mmoja.
Ukiona watu wawili watano wanakuombea mabaya inabidi ujiangalie sn tena sn namna unavyoishi na jamii.
huwa ni aibu tuu..wataanza kujitetea, ooh tulikuwa tunataka tujue alipo[emoji23]Jiwe yuko likizo buheri wa afya na kama mgonjwa namuombea apone siku akijitokeza watu wataweka wapi sura zao sijui
Huu msemo wa siwezi mtakia mbaya mtu aliye nifanyia ubaya huwa ni msemo wa kupumbavu na mara nyingi hutumiwa na watu wanafiki.Mkuu, mimi hata nifanyiwe ubaya gani, but sitajaribu kumuombea mtu huyo mabaya/Ajali, kuugua ama kifo. Watamuombea mabaya lakini ipo siku nao watatangulia mbele ya haki.
Mkuu jaribu kutulia maana bado hajaoneka hadharani isije ikabainika ni kweli ukaumbuka.huwa ni aibu tuu..wataanza kujitetea, ooh tulikuwa tunataka tujue alipo[emoji23]