Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Sure mfumo ukiwa mbovu lazima mambo yawe hovyoAwamu zingine hazikuwah kua smooth pia ...issues zliibuka klingana na mfumo wa uongoz uliotumika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sure mfumo ukiwa mbovu lazima mambo yawe hovyoAwamu zingine hazikuwah kua smooth pia ...issues zliibuka klingana na mfumo wa uongoz uliotumika
Sijui hata kama umemuelewa huyo jamaa hapo!Sure mfumo ukiwa mbovu lazima mambo yawe hovyo
Hapa umeninukuu halafu ukafuta ulichonukuu?Hiyo ndiyo ipo hivyo duniani kote au ni nadharia yako unataka ifanye kazi Tz?
Niliandika hivi:Hapa umeninukuu halafu ukafuta ulichonukuu?
Kwangu unatokea umeninukuu halafu ulichonukuu sikioni.
Elewa swali kabla ya kujibu.Niliandika hivi:
"Hiyo ndiyo ipo hivyo duniani kote au ni nadharia yako unataka ifanye kazi Tz?"
Inategemea anaekuombea mabaya ni nani mf adui yako hawezi kukuombea memaUkiona watu wawili watano wanakuombea mabaya inabidi ujiangalie sana tena sana namna unavyoishi na jamii.
Usijifanye huelewi anavyochukiwa na watuInategemea anaekuombea mabaya ni nani mf adui yako hawezi kukuombea mema
Tatizo lenu mnafikiri kila kinachotokea mitandaoni ndio kipo na huko mitaani.Usijifanye huelewi anavyochukiwa na watu
Kwa hiyo sisi tunaishi mitandaoni?Tatizo lenu mnafikiri kila kinachotokea mitandaoni ndio kipo na huko mitaani.
Naweza kusema hivyo,kwa sababu yaliyopo humu asilimia kubwa hayatokei huko mitaani na ndio maana wengi wameficha hata utambulisho wao.Kwa hiyo sisi tunaishi mitandaoni?
Wewe hujaficha utambulisho ndiyo maana jina lako halisi ni Uhuru? shame on youNaweza kusema hivyo,kwa sababu yaliyopo humu asilimia kubwa hayatokei huko mitaani na ndio maana wengi wameficha hata utambulisho wao.
Ndio maana nikasema kilichopo humu asilimia kubwa hakipo huko mitaani,kwahiyo tunaishi humu tu ila tukiwa uraiani ni maisha mengine.Wewe hujaficha utambulisho ndiyo maana jina lako halisi ni Uhuru? shame on you
Muulize anaefuga misukule iitwayo wasiojulikana inayopiga watu risasi, kufunga watu kwenye sandarus etc Kwanza huoni tangu aanze kuumwa nchi imetulia hakuna wanaopotea au kuuawa hivyoHio ndio imebakia sasahivi kuzushiana uongo eti fulani anaumwa mara fulani huyu nae anaumwa kwani kuugua siku hizi ni dhambi? Maradhi ni kawaida Kwa binamu. Tumekuwa na roho mbaya yakutakiana mabaya, hivi roho za hivi tumezitoa wapi haraka haraka hivyo?
Amelikoroga lipi na akati mtu yupo huko kwenye Comma akiwa kaunganishwa na mipipe utadhani mtungi wa Oxyacetylene lukonyombobutaneMagazeti ya kenya yamesema aliyosema lissu,mi kama vile wamemsemea(kumshtaki) kwa mamlaka,labda kwa nia njema au mbaya,lissu amekoroga sana hapa!
Acha ujinga unaanzaje kumuomba Mungu kwa kitu usicho na hakika?Jiwe yuko likizo buheri wa afya na kama mgonjwa namuombea apone siku akijitokeza watu wataweka wapi sura zao sijui
Tuna imani kubwaAmelikoroga lipi na akati mtu yupo huko kwenye Comma akiwa kaunganishwa na mipipe utadhani mtungi wa Oxyacetylene lukonyombobutane
Acha ujinga unaanzaje kumuomba Mungu kwa kitu usicho na hakika?
Mungu awaponye wagonjwa wote 🙏 🙏amina
Ataibuka siku ya uteuzi Wa MK ccm.Alipotea mwezi mzima, hakuonekana kabisa, vyombo vyote vya habari vikaripoti ana corona na vingine vikaripoti alishafariki ila Serikali inaogopa kusema. Siku anaonekana alikua mzima wa afya kabisa, hakua na dalili hata kidogo kama alikua anaumwa.
Nahisi Magu atawapa funzo la pili kama lile halikutosha. Tatizo letu waTanzania ni wavivu, wambea, kufuata mkumbo + unafiki. Na tutatazidi kuwa maskini mpaka tuone cha moto.
Unamchukia wewe kilaza tu na chuki zako za kike.Usijifanye huelewi anavyochukiwa na watu
Hizi ndiyo tabia za maza ako?Unamchukia wewe kilaza tu na chuki zako za kike.