RTI
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 2,423
- 7,155
Wapumbavu ni wale walio mzushia kwamba anaumwa.Vipi kama hayapo nani atakuwa mpumbavu.
Na ndio maana nimesema ni bora kuwa na akiba ya maneno maana hakuna mwenye uhakika ya mambo yanayo endelea.
Hii Serikali ya sasa imejaa watu waongo sana ,maana hata kipindi cha tetesi za kwamba Dr mpango anaumwa na yuko mahututi mlikuja na kejeri za namna hiyo lakini badae ikaja kubainika ni kweli alikuwa anaumwa tena sana.