Namna Vyombo vya Habari vya Kimataifa vilivyoingia mtegoni kueneza uvumi wa kifo cha Kim Jong Un

Namna Vyombo vya Habari vya Kimataifa vilivyoingia mtegoni kueneza uvumi wa kifo cha Kim Jong Un

Hiyo ndiyo ipo hivyo duniani kote au ni nadharia yako unataka ifanye kazi Tz?
Hapa umeninukuu halafu ukafuta ulichonukuu?

Kwangu unatokea umeninukuu halafu ulichonukuu sikioni.
 
Hapa umeninukuu halafu ukafuta ulichonukuu?

Kwangu unatokea umeninukuu halafu ulichonukuu sikioni.
Niliandika hivi:
"Hiyo ndiyo ipo hivyo duniani kote au ni nadharia yako unataka ifanye kazi Tz?"
 
Niliandika hivi:
"Hiyo ndiyo ipo hivyo duniani kote au ni nadharia yako unataka ifanye kazi Tz?"
Elewa swali kabla ya kujibu.

Kama hujaelewa, uliza.

Nilikuuliza hivi.

Hapa umeninukuu halafu ukafuta ulichonukuu?

Kwangu unatokea umeninukuu halafu ulichonukuu sikioni.
 
Wewe hujaficha utambulisho ndiyo maana jina lako halisi ni Uhuru? shame on you
Ndio maana nikasema kilichopo humu asilimia kubwa hakipo huko mitaani,kwahiyo tunaishi humu tu ila tukiwa uraiani ni maisha mengine.
 
Hio ndio imebakia sasahivi kuzushiana uongo eti fulani anaumwa mara fulani huyu nae anaumwa kwani kuugua siku hizi ni dhambi? Maradhi ni kawaida Kwa binamu. Tumekuwa na roho mbaya yakutakiana mabaya, hivi roho za hivi tumezitoa wapi haraka haraka hivyo?
Muulize anaefuga misukule iitwayo wasiojulikana inayopiga watu risasi, kufunga watu kwenye sandarus etc Kwanza huoni tangu aanze kuumwa nchi imetulia hakuna wanaopotea au kuuawa hivyo
 
Magazeti ya kenya yamesema aliyosema lissu,mi kama vile wamemsemea(kumshtaki) kwa mamlaka,labda kwa nia njema au mbaya,lissu amekoroga sana hapa!
Amelikoroga lipi na akati mtu yupo huko kwenye Comma akiwa kaunganishwa na mipipe utadhani mtungi wa Oxyacetylene lukonyombobutane
Jiwe yuko likizo buheri wa afya na kama mgonjwa namuombea apone siku akijitokeza watu wataweka wapi sura zao sijui
Acha ujinga unaanzaje kumuomba Mungu kwa kitu usicho na hakika?
 
Amelikoroga lipi na akati mtu yupo huko kwenye Comma akiwa kaunganishwa na mipipe utadhani mtungi wa Oxyacetylene lukonyombobutane

Acha ujinga unaanzaje kumuomba Mungu kwa kitu usicho na hakika?
Tuna imani kubwa
 
Alipotea mwezi mzima, hakuonekana kabisa, vyombo vyote vya habari vikaripoti ana corona na vingine vikaripoti alishafariki ila Serikali inaogopa kusema. Siku anaonekana alikua mzima wa afya kabisa, hakua na dalili hata kidogo kama alikua anaumwa.

Nahisi Magu atawapa funzo la pili kama lile halikutosha. Tatizo letu waTanzania ni wavivu, wambea, kufuata mkumbo + unafiki. Na tutatazidi kuwa maskini mpaka tuone cha moto.
Ataibuka siku ya uteuzi Wa MK ccm.
 
Anapata faida gani?,zaidi ya fedhea anapojikuta asilimia kubwa ya wananchi wanamnenea mabaya,wengine wanakufuru kuwa wameshaandaa tafrija.

Mwisho Wa siku anakuja kuumia kisaikolojia yeye anaecheza na akili za waponzani bila kujua.
 
Back
Top Bottom