Wapumbavu ni wale walio mzushia kwamba anaumwa.Vipi kama hayapo nani atakuwa mpumbavu.
Ajitokeze keshoJiwe yuko likizo buheri wa afya na kama mgonjwa namuombea apone siku akijitokeza watu wataweka wapi sura zao sijui
Kwamba unasubiria dk ya 90[emoji23][emoji119]Mkuu jaribu kutulia maana bado hajaoneka hadharani isije ikabainika ni kweli ukaumbuka.
Mm nime tulia tu nasubili upepo utakapo vumia na mm naenda huko huko.
Atajitokeza tu usikute kapiga siku akiibuka ni kama kim jong un wa north Korea hivi kuwakata kibembele front, haiwezekani Raisi aumwe apelekwe Kenya ambao hatupatani nao kabisa. Kuna propaganda hapaAjitokeze kesho
Maana ukimya wake tu na huo uzushi watu wameshasahau kuwa ka kuna corona. Hafu wanaoshabikia kina lisu na kigogo na mnyika wataweka wapi sura zao. Mimi hizi taarifa za uzushi zimeshanichefua kwa kwelihuwa ni aibu tuu..wataanza kujitetea, ooh tulikuwa tunataka tujue alipo[emoji23]
HakikaMaana ukimya wake tu na huo uzushi watu wameshasahau kuwa ka kuna corona. Hafu wanaoshabikia kina lisu na kigogo na mnyika wataweka wapi sura zao. Mimi hizi taarifa za uzushi zimeshanichefua kwa kweli
Hao uliowataja kama Mnyika na Lissu wameshabikia nini zaidi ya kuhoji alipo huyo ndugu na umeskia sheria inaruhusu raia kujua alipo.Maana ukimya wake tu na huo uzushi watu wameshasahau kuwa ka kuna corona. Hafu wanaoshabikia kina lisu na kigogo na mnyika wataweka wapi sura zao. Mimi hizi taarifa za uzushi zimeshanichefua kwa kweli
" kama unataka kupendwa na kila mtu akauze ice cream"Lakini kwanini watu wakuombea mabaya? Tujifunze kuishi vizuri na watu vyeo ni vya kupita lakini ubinadamu utabaki.
Mkuu hapa nilipo tukipata taarifa ya msiba hatuamini kama ni Islam hadi tusikie tangazo msikitini na kama ni dini tofauti tupata kutoka chanzo chenye uhakika, unaweza kwenda unalia ukapokelewa na marehemu sijui utamwambia nini kila uchao fulani kafa sijui hili gonjwa limetoka wapi?Lakini kwanini watu wakuombea mabaya? Tujifunze kuishi vizuri na watu vyeo ni vya kupita lakini ubinadamu utabaki.
Mkuu binadamu hatuna jema akijitokeza kukata utepe sehemu tunalalamika kwamba hiyo si hadhi yake angemwachia mwenyekiti wa kijiji kufungua. Lipi jema.kwetu?Ukichagua kuwa Rais, umechagua kuwa muuza sura.
Ukipotea huonekani wakati kazi yako moja ni kuuza sura, lazima watu waulize, wewe umechagua kazi ya kuuza sura, mbona unazembea kuuza sura huonekani?
Mnyika na lisu Wana Mambo ya msingi ya kufanya ka chama Cha upinzani kuliko kuhangaika na cheap politics na ushabiki maandazi kuombea wengine mabaya mbona ya msingi hawasemi hao.hao uliowataja km mnyka na lisu wameshabkia nn zaid ya kuhoji alipo huyo ndugu na umeskia sheria inaruhusu raia kujua alipo
kuhusu kigogo huyo iko waz kuna mambo huwa anaweka ya kwel kbs na yanatokea kama yalivyo na mengne hayatokei
so toa ujinga wako hapa
unakumbuka kifo cha alphonce mawazo pale katoro na marisasi aliyomwagiwa lisu je, hawa hawakuwa wanadamu eti, na kuzushiwa kfo kwa mbowe na john mrema je? Nao si bnadamu ila huyo tu eti.
Kweli kabisa mkuuMkuu hapa nilipo tukipata taarifa ya msiba hatuamini kama ni Islam hadi tusikie tangazo msikitini na kama ni dini tofauti tupata kutoka chanzo chenye uhakika, unaweza kwenda unalia ukapokelewa na marehemu sijui utamwambia nini kila uchao fulani kafa sijui hili gonjwa limetoka wapi?
Sawa mkuu" kama unataka kupendwa na kila mtu akauze ice cream"
Mwisho wa kunukuuu
Upo sahihi mkuu, je unategemea nini kama una umiza wengine bila sababu za msingi na wenzako hawana sehemu yoyote ile ya kwenda kukushitaki? Nadhani tuishi vizuri kwa upendo watu wote tusibaguane tupendaneMkuu, mimi hata nifanyiwe ubaya gani, but sitajaribu kumuombea mtu huyo mabaya/Ajali, kuugua ama kifo. Watamuombea mabaya lakini ipo siku nao watatangulia mbele ya haki.
Upo sahihi mkuu, je unategemea nini kama una umiza wengine bila sababu za msingi na wenzako hawana sehemu yoyote ile ya kwenda kukushitaki? Nadhani tuishi vizuri kwa upendo watu wote tusibaguane tupendane
Pamoja comradeKweli kamanda wangu