Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Madikteta wote baba yao ni mmoja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli, lakini kwanini iwe awamu yangu tu ndiyo inaombewa mabaya na wakati na awamu zingine nazo zilikuwa na binadamu mkuu?
Sio wote tunao muombea vibaya na isitoshe Magufuli sio hela apendwe na kila mtu. Kama Yesu na Mtume Muhammad walipendwa na wengi na walichukiwa na wengi ije kuwa Magufuli?
Iendayo upotevuni[emoji236][emoji236][emoji236][emoji236]Acha ujinga mleta mada jiwe yuko njia Ile pana kwa Sasa. Maana njia nyembamba siyo yake
Hajui huyo kwamba Daily Nation kwa mfano ni gazeti lenye heshima zote nchini Kenya.Unadhani serikali ya Kenya ingeacha magazeti yake yaseme uongo afu yadhalilike baadaye?
Magazeti ya kenya yamesema aliyosema lissu,mi kama vile wamemsemea(kumshtaki) kwa mamlaka,labda kwa nia njema au mbaya,lissu amekoroga sana hapa!Unadhani serikali ya Kenya ingeacha magazeti yake yaseme uongo afu yadharirike baadaye?