Namna Watanzania wanavyotapeliwa na Waganga wa Kienyeji nchini Kongo

Yaani ufike Tunduma boda kisha uende tena sumbawanga [emoji276]chai hii sio poa,Ikifika Tunduma ndio boda ya nakonde ilipo then unaingia zambia hadi kapiri mposhi ndio unaingia congo
Tulia wew hujatembea na hujui ramani na Congo ni kubwa na njia rahisi ya kwenda Moba ni Sumbawanga au Kigoma via Tanganyika.
 
Sehemu kubwa ya matajiri vijana wa mbeya,dawa zake wametoa Congo,mfano,,kuku kudonoa punje za mahindi,kufuga kinyoka,unakufa na kuoza kwa siku 3 alafu unafufuka nk...
 
Nimesoma huu uzi mstari kwa mstari kuanzia mwanzo hadi sehemu ya 7, nilipoingia sehemu ya 8 imani ikaanza kupungua na maswali yakaanza kuwa mengi kichwani nikaanza kurukaruka.

Anyway sina sababu za kutosha za kutofautiana na mwandishi ila nimewaza sana hizo gharama zote za fedha zilizotumika safarini mbona kama ni kubwa sana, huyo daktari alikuwa na akiba kiasi gani mbona kama kuna sehemu mwandishi kaonyesha daktari alikuwa analalama mshahara wake haulipi?

Hizo fedha mlotumia safarini mngewekeza Kariakoo mngetoboa tu.
 
kubwa ukilinganisha ni kitu gani?bajeti aliyoitenga Kamugisha ulikuwa unaijua?
 
Ahsante...
 
Duuuh...
Nami nipo Bariadi...nitafuatilia
 
mkuu usifananishe maisha yako na ya wengine,wewe ukiwa na mil 5,ni mtaji tosha kwa biashara,kwa mwingine ni hela ya matumizi kwa mwezi mmoja tu...
 
Ww ni mtu wa bariad mkuu?
 
Kwa mahesabu ya haraka ni zaid ya mil 3
 
Yaani ufike Tunduma boda kisha uende tena sumbawanga [emoji276]chai hii sio poa,Ikifika Tunduma ndio boda ya nakonde ilipo then unaingia zambia hadi kapiri mposhi ndio unaingia congo
Kama huijui inchi hii kaa kimya mkuu
 
Yaani ufike Tunduma boda kisha uende tena sumbawanga [emoji276]chai hii sio poa,Ikifika Tunduma ndio boda ya nakonde ilipo then unaingia zambia hadi kapiri mposhi ndio unaingia congo
Mkuu kongo Haina barabara za kuunganisha miji na miji Kama ilivyokwetu huku
 
HV una kichaaa nn kuwekeza kariakoo unadhani Ni jepesi kama kula mbuzuza unajuwa Bei za fremu pale kumngoa mtu milion 80 ,100+ nje ya Kodi ya mwezi milinion 1 au 2 milion alfu ulipe kwa mwaka unachekesha ...sanaa


Au unataka wakaekeze kuuza screen protector na kutanda nguo Chini za buku buku


Mkuu kariakoo CYO kwepesi Kiasi hicho
 
Sa ukichaa wangu umetoka wapi mzee, ko wanaofanya biashara Kariakoo wana kende 3?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…