tang'ana
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 11,931
- 15,849
- Thread starter
- #21
Mbona minchi mingi ya Africa ni Republic but Rushwa ndio nyumbani kwao?Kumbukeni Japan sio jamhuri ya muungano, ni republic! Nchi ambayo ni United republic huwa na matatizo ya rushwa, ufisadi na kutojali. Ili nchi ipate maendeleo ya haraka inatakiwa ihame kutoka United republic kuwa republic! Vinginevyo itabaki maskini milele.