Namna wenzetu wanavyoona aibu kuiba mali za Umma

Mbona minchi mingi ya Africa ni Republic but Rushwa ndio nyumbani kwao?
 
Nchi hizo zenye sheria kali kwao ndo washenz wa kuandika mkataba mibovu kwetu. Tenders zote wanalamba wao kwa kutumia tamaa yetu yakupenda rushwa na Elim ndogo na vyeti VINGI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…