Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 3,727
- 3,777
Itakuwa yeye alitangulia mwaka mmoja halafu hakwenda A-levelUmuwez huyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakuwa yeye alitangulia mwaka mmoja halafu hakwenda A-levelUmuwez huyo
Ulimpa?Mkui kwa umri wake laki tano yanini but kuna uzi wake humu nilishapost aliniomba 500k kwa ajili ya kuchukua mzigo china
Hahaha me nlishasema ww kumuacha huwez. Ww mle tu had nafsi ichokeeAisee bac nitafanya hivyo ila wacha nimle kwanza
😂 ukorofi huoKwanini uite mtu Gold digger na huna hiyo gold yenyewe
Kula chuma hicho mkuu acha upewe za uso.Half american njoo huku
Sili ugali jero?mlimani site ndo mlima upi huo?, huku mtaani kwa mama ntilie ndio ugali buku hadi jero una pewa.
Unamwitaje Gold digger wakati hata gold zenyewe huna? Mbadilishe jina
We boya Nini ugali wa jero una pata ila kwa mbinden ana, maana mchuzi kidogoSili ugali jero?
Kaenda mkuu huyu kazaliwa 2001Itakuwa yeye alitangulia mwaka mmoja halafu hakwenda A-level
Kwanini nimpe?Ulimpa?
Mkuu hata hilo wazo la kumla nimeliondoa tena bora hiyo pesa nimpe mtu mwingineHahaha me nlishasema ww kumuacha huwez. Ww mle tu had nafsi ichokee
Yaani Katika Watu Nawadharau Na Kuwatukana Kimoyo Moyo Basi Ni Kama Wewe.Wakuu niina swali kidogo hv unapotongoza mdada ukakuta ni Gold Diger inatakiwa uichape mara ngapi ndio uiache???
Aisee nimekutana na kitoto cha 2003 nikataka nimfanye wife material but nilivyogundua kuwa ni Gold diger nikaona hapa hakuna jipya ni kupiga na kusepa.
Tatzo likaanzia hapa toka nimemgusa yule mtoto the way alivyomtamu halafu ni msafi balaa na anajua mapenzi kinoma ndio nikajikuta nimenasa mazima.
Kila nikimaliza kudate nae nasema namuacha lakini zikipita siku mbili najikuta namtamani tena toka mwez wa 11 mpaka sasa nimeshindwa kumuacha huyu mtoto. Japo mara nyingi najiapiza kumuacha but ninafeli.
Kuna siku nikampotezea nikaamua kuvuta kidem changu kibonge kina nyashi hatari but nilishindwa kuperform sababu muda mwingi nilikuwa namuwaza yule mtoto wa 2003, yani itoshe tu kusema huyu mtoto kanikamata sana na sijui namna ya kujitoa japo nimeshamuweka mara 3 lakini bado najikuta naitaka tena pia tumekuwa na ugomvi mwingi kuhusu pesa lakini tunasolve mambo tunaendelea.
wakuu hapa tayari kaniambia kesho anakuja gheto na toka asubuh nilipanga kwamba hiyo ndio itakuwa mara ya mwisho but nikikumbuka utamu wa yule kiumbe nakosa ujasiri na mbaya zaidi namba yake ipo kichwani.
Hivi kuna mtu alishawahi kukutana na situation kama hii kwamba unananasa kwa mtu na unashindwa kujitoa??
Nimepiga madem wengi lakini nyapu, style na usafi wa huyu mtoto ni habari nyingine yani nishakuwa addicted na huyu mtoto naumia sana kubaki nae ila kujitoa ndio nimeshindwa em niokoeni ndugu zangu.
Kwa Upumbavu Unaouandika Hapa Inaonekana Wewe Ni Askari Maana Wengi Wao Ni Washamba Wa Wanawake Wachache Sana Ndo Wanajielewa Kwenye Hiyo Kada.mkuu sijui huyu mtoto kanifanyia nini ubabe wote kwisha japo sio kawaida yangu kweli kila mtu na kiboko yake
Kijana inaonekana k inampelekesha yani kwa kifupi anaisujudiaUnaonekana mnyonge, ni rahisi kupelekeshwa.
Wewe huwa huongi?Kijana inaonekana k inampelekesha yani kwa kifupi anaisujudia
Uwa nasimamia kucha ata sipigwi vizingi zaidi ya kutatua matatzoWewe huwa huongi?
Kutatua matatizo wewe baba yake? Ndio kuhonga hukoUwa nasimamia kucha ata sipigwi vizingi zaidi ya kutatua matatzo
Kutatua matatizo wewe baba yake? Ndio kuhonga huko
Hela kubwa uliyotoa
iasi gani?
Nilitumaga 50000 ya nauli from dom to mwanza na akuja 😆😆😆😆😆😆Kutatua matatizo wewe baba yake? Ndio kuhonga huko
Hela kubwa uliyotoa kiasi gani?