Namna ya ku-deal na Gold digger

Namna ya ku-deal na Gold digger

Mi hao watt nakula nawapa chao napita hivi nikimuhitaj namwita wapo wengi we ni mshamba wa mapenz ndo maana unapigwa
 
Muulize penzi letu ni kuenjoy na kufurahia au kuuziana..kisha mwambie njoo ila sitakuwa na hela ya kutoa leo. Ukimfanya mara mbili bure akikimbia ndo unakuwa umetua mzigo. Asipokuja pia ndio umekata mrija wa pepo la ufilisi
Mkuu huyo ukimwambia tu njoo ila kwasasa pesa sina ndio kwaheri
 
Tafuta hela ndo uache kuita watoto wa watu gold digger. Akiomba laki 5 si utamfungulia kesi kabisa? Usipomtunza tutakutunzia, kutunza na kukaza vinaenda pamoja . Elfu 30 ni ku dig gold ama kuchimba chumvi 😂😂?
Mkuu mbona laki 5 alishaomba na uzi upo humu
 
Back
Top Bottom