Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,076
- 5,483
- Thread starter
-
- #301
Naichakata leo kwa mara ya mwisho halafu nambwaga mazimaToa pesa kijana acha kulia lia km hutaki achia ngazi πΉπΉπΉ
Ila c anagongwa hakuna shidaHana genye wala nini, anakuigizia aje kuchukua mpunga wakeπ€£
Mkuu nataka nimuingize kwenye mfumo nimchakate halafu nimuacheDuh kijana unainyenyekea k
Anakula chips kuku mkuuHayan ufundi haya mambo. Ila 30,000 per week c issue kama mnakutania geto na kam akj mnakula ugali mchicha ila nje apo achaa
Wewe ndo umeingizwa kwenye mfumoMkuu nataka nimuingize kwenye mfumo nimchakate halafu nimuache
Afu tatu au sioπDemu akikuomba aftatu ndio unamwita gold digger? Anataka pesa ya madaftari tu
Mkuu hiyo ni nauli tu bado kuna vizinga vinginehem niendelee kuwapa hela watoto wangu! Imagine mtu anaitwa gold digger kwa kupewa 120,000 kwa mwezi!
Bado ni pesa ya kawaida kabisa a man anayeanza kudate anapaswa kuzitoa bila kuansiha thread na inaenda pages and pages.Mkuu hiyo ni nauli tu bado kuna vizinga vingine
Mbona kama huu mwandiko ni wa demu wangu. Upo wapi mkuu
Umepotea. Long time no seeππππ
Mbavu zangu!
Vitoto vya Alfu2 vimekutana
Tatzo mzigo anatoa kwa kusua suaHalaf kalivyokua kajanja hataki 120k kwa mwezi, anataka 30k kwa wiki! Hii mbinu ina intelligence kubwa sana ndani yake.
BTW tengua kauli huyo hajafika level ya gold digger. 30k per week bado pesa ndogo sana kama anakupa mzigo kwa moyo mmoja bila kukubania.
Dsm mkuuMbona kama huu mwandiko ni wa demu wangu. Upo wapi mkuu
Mkuu dogo anazingua sanaYani mm unipangie hela ya kukupa kila wiki kama vile nimezaa nako ..aiseee
mkuu wala pesa sina kivile
Ktuma pesa nyumbani natuma kila wiki na hata sasa nimetoka kutumaMara ya mwisho kutuma pesa nyumbani ni Lini?
JE wazazi wako wanatumia vifaa vya kisasa kuwasaidia shughuli za nyumbani?
Kama jibu ni Ndio endelea kutoa pesa kwa hako kabinti
Basi sio kumbe. Komaa nalo hiloDsm mkuu