Namna ya ku-deal na Gold digger

Ngoja nikamuulize chat gpt maana ya melancholic nini
 
Kaza man, usikubali mwanamke akakuendesha.
Mkuu kesho kasema anakuja hapo lazima nichome kuanzia 60k na nilipanga akija nikipiga mara mwisho nisirudie sema naona kama ntakuwa najitengenezea mazingira ya kutokutoka naona nimpotezee tu kuanzia sasa hv ili ili biashara iishe leo
 
Daah mkuu yani ni wazi najua huyu mtoto anifai but inakuwa ngumu kumpotezea
Usijilazimishe kumuacha kwa vile anatii KIU yako so far....
We mle tu bila malengo itafika siku tabia zake zitakukeraa utajikuta tu umemuacha kimtindo.
Ukiwa na chochote kitu mpatie muende sawa.
Ila utembee na ngala (zana ya kazi) maana bi dada anaonekana pesa mbele
 
Mwanaume anaoa mwanamke wa umri wowote..Eti mwanao!Mwache mleta mada mkuu..
 
Sasa we shetani badala ya kufanya kazi yako ya kupotosha watu wewe ndio kwanza unaanza kutoa ushauri mzuri
Shetani gani wewe!!!
 
Mpigishe Bata after Bata party after party chape pocket money kabla haijaisha unmuongeza mara mbili ya ile ya awali after five years ya kula sterehe ataanza kupoteza Nuru na kuchuja atakuomba ndoa mwenyewe
 
Mkuu kesho kasema anakuja hapo lazima nichome kuanzia 60k na nilipanga akija nikipiga mara mwisho nisirudie sema naona kama ntakuwa najitengenezea mazingira ya kutokutoka naona nimpotezee tu kuanzia sasa hv ili ili biashara iishe leo
inaonesha tangu mnafahamiana ulimzoesha pesa na akajua unazo, hakukupenda bali alipenda pesa zako.

Ukimuhitaji weka dau mezani kula endelea na life lako ila huyo sio ke wa kufanya nae maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…