Namna ya ku-deal na Gold digger

Namna ya ku-deal na Gold digger

Uliingia na gia ya kishamba Sana mtoto kakushika uchomoki🤣🤣🤣

Ukitaka umzid nguv tafuta anayemzid uzuri afu amjue atapoa
 
Wakuu niina swali kidogo hv unapotongoza mdada ukakuta ni Gold Diger inatakiwa uichape mara ngapi ndio uiache???

Aisee nimekutana na kitoto cha 2003 nikataka nimfanye wife material but nilivyogundua kuwa ni Gold diger nikaona hapa hakuna jipya ni kupiga na kusepa.

Tatzo likaanzia hapa toka nimemgusa yule mtoto the way alivyomtamu halafu ni msafi balaa na anajua mapenzi kinoma ndio nikajikuta nimenasa mazima.

Kila nikimaliza kudate nae nasema namuacha lakini zikipita siku mbili najikuta namtamani tena toka mwez wa 11 mpaka sasa nimeshindwa kumuacha huyu mtoto. Japo mara nyingi najiapiza kumuacha but ninafeli.

Kuna siku nikampotezea nikaamua kuvuta kidem changu kibonge kina nyashi hatari but nilishindwa kuperform sababu muda mwingi nilikuwa namuwaza yule mtoto wa 2003, yani itoshe tu kusema huyu mtoto kanikamata sana na sijui namna ya kujitoa japo nimeshamuweka mara 3 lakini bado najikuta naitaka tena pia tumekuwa na ugomvi mwingi kuhusu pesa lakini tunasolve mambo tunaendelea.

wakuu hapa tayari kaniambia kesho anakuja gheto na toka asubuh nilipanga kwamba hiyo ndio itakuwa mara ya mwisho but nikikumbuka utamu wa yule kiumbe nakosa ujasiri na mbaya zaidi namba yake ipo kichwani.

Hivi kuna mtu alishawahi kukutana na situation kama hii kwamba unananasa kwa mtu na unashindwa kujitoa??

Nimepiga madem wengi lakini nyapu, style na usafi wa huyu mtoto ni habari nyingine yani nishakuwa addicted na huyu mtoto naumia sana kubaki nae ila kujitoa ndio nimeshindwa em niokoeni ndugu zangu.
Mbona hata hana makuu.
Hujakutana na demu anataka gari ee
 
1000026170.png
😂🙌🏿 vitoto vya 2000
 
Mega kijanja huyo ana njaa ndio maana licha ya kumbania hela bado yupo, kiufupi akipatikana mtoaji mzuri wa pesa anahamia huko.
Yeah I know mzee sema sikutaka tufike huko nataka nimuache sasa hv vp nipige kesho cha mwisho au nimpotezee leo leo maana k zakupiga zipo tena ni afodable kabisa
 
Yeah I know mzee sema sikutaka tufike huko nataka nimuache sasa hv vp nipige kesho cha mwisho au nimpotezee leo leo maana k zakupiga zipo tena ni afodable kabisa
Maamuzi ni yako kama unampotezea we kula buyu tu hakuna haja ya kumwambia umemuacha.
 
Back
Top Bottom