much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 11,461
- 17,183
Kama pesa Ipo unaogopa nini wenzako ndo wenzako tu tunyofanya wakichuka tunahamia kwingineMkuu uoni namimi ntakuwa nimepoteza pesa nyingi kwa ajili yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama pesa Ipo unaogopa nini wenzako ndo wenzako tu tunyofanya wakichuka tunahamia kwingineMkuu uoni namimi ntakuwa nimepoteza pesa nyingi kwa ajili yake
Wali au ugali wa buku safi, mchawi maji jagi Moja.😂😂😂 buku unakula nini kila siku au ndio unakula ugali na mboga ya uji wa ugali
Haya bye tutaongea kesho😋😋Wewe una shida gani? wewe nani kwanza🤣
Kila la kheri, kesho ufungue Uzi wa mchakato mzima unitag ntauwekea kitufe cha Live Uzi wakoNdio nataka nimuache sasa
Huyu anizungumzii mimi mkuu mimi k za kupiga ni nyingi mnoAtatia huruma sana, ila sabuni si zipo bei nafuu kabisa.
Daah acha tukae kimya hahahaKumbe yupo normal
Sawa mkuuKila la kheri, kesho ufungue Uzi wa mchakato mzima unitag ntauwekea kitufe cha Live Uzi wako
Uo wali wa buku mlimani site unapata wapWali au ugali wa buku safi, mchawi maji jagi Moja.
Mkuu hiyo 30k kwa wiki anazungumzia nauli tu hapoDaah acha tukae kimya hahaha
Wewe nani? Halafu unaitwa nasra wewe jike?Haya bye tutaongea kesho😋😋
Sawa mkuu shukraniMaamuzi ni yako kama unampotezea we kula buyu tu hakuna haja ya kumwambia umemuacha.
Sawa mkuuHuyu anizungumzii mimi mkuu mimi k za kupiga ni nyingi mno
Poa mkuuSawa mkuu shukrani
Yeah I know that's why nataka nimuweke kandoAnakuuzia huyo na anae mwamba haupo peke yako.
mlimani site ndo mlima upi huo?, huku mtaani kwa mama ntilie ndio ugali buku hadi jero una pewa.Uo wali wa buku mlimani site unapata wap
Hiyo ni nauli ya kila wiki mzee bado matumiz mengine30k tanzanian shillings ndio gold digger??
Ila usimuageHuyu mapema tu mkuu namkatia mferej wa mafao
Sema huo ni utumwa wa K