Namna ya ku-deal na Gold digger

Yaan bado unakaa gheto then unaita watoto wa watu gold digger, anadig nini sasa hapo?
 
😂 30k kila week 🙌 noma sana, akipata wasee kama nyie 5 kwa week ana 150k, achana nae aisee atakuja kukupiga tukio hauta amini kitakachotokea
Mkuu nilipanga kesho nimle kwa mara ya mwisho halafu nimpotezee au nimpotezee saiv
 
Mbona kakuomba Pesa ndogo hivo Jamani 😅😅angeomba laki tano Je?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…