Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Mahusiano kwa upande wa mwanaume yana gharama sana.
Kama hutokuwa makini, hutofanya kitu cha maana katika maisha yako. Utajikuta kila siku, wewe ni mtu wa kutoa hela tu.
Ukija kupiga mahesabu, kwa fedha ulizozitumia kwa mwezi mzima katika mahusiano, inazidi kipato chako.
Na hii imepelekea baadhi ya wanaume kuwa na madeni mengi, kutokujenga miji yao, kutokumiliki biashara, kutokujinunulia mavazi n.k.
Na yote anafanya ili kumridhisha mwanamke ambaye sio mke wake; ambaye leo na kesho anaweza kuwa na mwanaume mwingine.
Kutokana na uzoefu; nawashauri wanaume wenzangu; mwanamke ambaye tayari umeshatembea naye; tambua, hakuna jipya lingine utakalolipata, zaidi ya kuendelea kutoa huduma huku mambo yako ya msingi yakiteketea.
Hakuna haja ya wewe kuendelea kujipendekeza kwake tena; kufanya hivyo unajiongezea nafasi ya kuendelea kubeba majukumu mazito, na mwisho wa siku hutotimizi ndoto zako.
Unatakiwa ufanye hivi:-

- Usimpigie simu, muache yeye akutafute
- Jiongezee thamani kwenye kuongea, muonekano n.k
- Usikubali kila 'out' anayotaka mtoke
- Usimuonee wivu, hata kama anatoka na wengine
- Wekeza kwenye vitu vyako vya msingi
- Usisababishe ugomvi naye
- Jiweke katika mazingira ya kumkinai/kumchoka