Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
Maana halisi ya love and caring haipo wakati wote wanawaza hela zao tu na kuwatumia wanawake wanasahau kuwa baadhi ya wanawake wanawaombea Sana wafanikiweIla nawaonea huruma mabinti wa sasa...
Maana wanaume wa siku hizi... wanakwepa majukumu....those days...wanaume walikuwa wanatoa pesa...na bado walitoboa...