I LOVE GIRLS
JF-Expert Member
- Nov 17, 2020
- 857
- 1,323
"Akikutega, ukijiweka haukohoi,
utakesha tu unacheka,.
Ushatekwa home boy"
fid q
utakesha tu unacheka,.
Ushatekwa home boy"
fid q
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inabidi kubadilika mkuuUmepiga mshono [emoji23]
Ni kuwa makini tu"Akikutega, ukijiweka haukohoi,
utakesha tu unacheka,.
Ushatekwa home boy"
fid q
Kabisa,Ni kuwa makini tu
Wazee wazamani ilikua hawa hongi na mapenzi yalikua ya kweli. Ila kwa kizazi hiki cha mahusiano ndiyo ajira ya mwanamke 😂😂😂😂 acha tu tuwakwepe. Upendo sio kitu cha kuuziana. Na umasikini wa mawazo, fikra na fedha una waaminisha mabinti kuwa kupewa hela ndio upendo kitu ambacho sio kweli. Tunanunua penziIla nawaonea huruma mabinti wa sasa...
Maana wanaume wa siku hizi... wanakwepa majukumu....those days...wanaume walikuwa wanatoa pesa...na bado walitoboa...