Namna ya kuepuka gharama kwenye mahusiano

Maybe that "haki sawa" shit imewaingia...
Au wamekuwa wavivu kuhonga...
Au ni era...imebadirika???
Seriously speeking...wanaume wamebadirika sana...nina my young sis...ana boyfriend wake, namuona kama yeye sasa ndo anamuhonga !!
Inatia huruma Sana the way unavoset akili kuamini vitu vya ovyo akili nayo inafnya kuwa ndo Sheria
Wanaamini Sana hakuna mapenz now pesa aisee utapata wa kukuchuna ushangae

Lkn ukiamini mazuriyapo kwenye mapenz utapata mtu ambae utaona kbisa kweli hiki ndo nilikuwa nataka na hkuna gharama utayoona inakuathiri
 
Aisee kweli, siku na tambulishwa I was like whaat???
Yaan jamaa ana lamba lips, ana mapozi...

Kweli wanaume wamepungua aisee!!! God help...
Vitu vingi vinawaharibu mpaka wengine kutamani kuwa wanawake
 
Msingi ni pamoja na kumspoil babe wako lakin...
Itategemea na aina ya mwanamke, kimtazamo utajua huyu ni wife material or not; hapo ndipo utajua kama ni sahihi kufanya matumizi ya muda mrefu.
 
Itategemea na aina ya mwanamke, kimtazamo utajua huyu ni wife material or not; hapo ndipo utajua kama ni sahihi kufanya matumizi ya muda mrefu.
Thats the point!!!
Kumbe bado mpo!! Maana ku generalize sio sawa...
You good!!!
 
Ukweli mchungu sana sana, shukrani sana
 
Thats the point!!!
Kumbe bado mpo!! Maana ku generalize sio sawa...
You good!!!
Mkuu, unaelewa kuwa kuna wanaume wamekuwa walevi kupindukia na wengine biashara zao kuporomoka kwa sababu ya kuwa kwenye mahusiano na mtu amabaye siye sahihi?
 
Mkuu, unaelewa kuwa kuna wanaume wamekuwa walevi kupindukia na wengine biashara zao kuporomoka kwa sababu ya kuwa kwenye mahusiano na mtu amabaye siye sahihi?
I know...mifano ni mingi kwa jamii...lakini swala la mahusiano ni complex..
Unaweza mpata bingwa wa ku pretend!! Baada ya muda akabadirika, au ukapata alie bora..ila maisha, mazingira, na muda ukambadilisha....
 
Huyu nilie nae akiona nimekaa kimya huwa anatuma hela unashangaa Imethibitishwa 50000...
Ili tu nimpigie nimwambie Asante nimepata, sasa tayari hapo nitakuwa tayari nimeshampigia nimevunja mashart
 
Tunashukuru kwa mbinu zako acha tutest kama.tutafanikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…