Namna ya kuepuka gharama kwenye mahusiano

Ila nawaonea huruma mabinti wa sasa...
Maana wanaume wa siku hizi... wanakwepa majukumu....those days...wanaume walikuwa wanatoa pesa...na bado walitoboa...
Wazee wazamani ilikua hawa hongi na mapenzi yalikua ya kweli. Ila kwa kizazi hiki cha mahusiano ndiyo ajira ya mwanamke πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ acha tu tuwakwepe. Upendo sio kitu cha kuuziana. Na umasikini wa mawazo, fikra na fedha una waaminisha mabinti kuwa kupewa hela ndio upendo kitu ambacho sio kweli. Tunanunua penzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…