Namna ya kujilinda na kuwa salama unapokuwa Bar

kumilik/kutembea na silaha yahtaji weny moyo mpana.
Sio kira zari utoe siraha kwa hasira no.

Siraha itumike kama chaguo la mwisho labda umevamiwa ila sio bar kwa walevi ambao mda huo hakiri zao hazisomi vzuri.

Mim hupenda kutembea na kisu kidogo mfukon.
Siku moja nilivamiwa na vijana wenzangu, wakitaka kunidhuru.

Walikuwa vijana kama 10+ nikachomoa kisu changu. Wakaniwekea duara tu wakunisogerea akakosekana mpaka wapita njia walipoingilia wakakimbia nikabak salama.
ilikua KATORO, kuna kundi lilijiita MAZOMBI sijui walipotelea wap nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…