Namna ya kukabili tatizo la kuwahi kufika kileleni na kushindwa kuendelea

Namna ya kukabili tatizo la kuwahi kufika kileleni na kushindwa kuendelea

Kilenzi _Jr

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2021
Posts
301
Reaction score
1,110
1: Punguza wasiwasi:
Hebu lifikirie tendo kama njia ya kujifurahisha sio njia pekee ya kutafuta kutoa mbegu, hii itakusaidia kuondoa mawazo ya kutafuta mbegu na kuchelewa kumaliza.

2: Fanya taratibu:
Picha za ngono zinadanganya sana watu kwamba kulala na mwanamke lazima ufanye kwa haraka haraka kama mbwa. HAPANA; ukifanya taratibu ndio njia nzuri ya kumfikisha mwenzako na wewe kuchelewa kufika kileleni.

4: Badilisha staili:
Ile style ya zamani ya kumlalia mwanamke kwa juu{missionary position} inaleta msuguano mkubwa kwenye kichwa cha uuume hivyo itakufanya ufike haraka sana.

5: Tumia style ya wewe mwanaume kutangulia chini afu mwanamke juu au kulala kwa upande wote mnaangalia upande mmoja hii itakusaidia sana kuchelewa

6: Toa mawazo kwamba unafanya ngono:
Hebu jaribu kufikiria mambo mengine ya kikazi au masomo wakati unafanya tendo hilo, hii itakupunguzia hisia kali za mapenzi na kuchelewa kufika.

6: Fanya na kuacha:
hii ni ile hali ya kuzuia msuguano pale unapoona unakaribia kutoa mbegu kwa kama sekundi 30 kisha unaanza upya. Hakikisha haufiki “point of no return”. pointi ambayo huwezi kujizuia tena kumaliza.
 
BARAZA LA AMAWAZIRI LIMEFANYIWA MAREKEBISHO ILA SIJAONA WIZARA INAYOHUSU MAHUSIANO NA NDOA
 
Ahsante kwa muongozo, ukiwa kufika sii uondoke...
 
Wadau,

Kama wewe ulishawahi kuwa mhanga wa hii, ulipambana vp na tatizo la kukojoa haraka ndani ya dakika 1 alafu mashine kuchelewa kusimama kwa ajili ya round 2?

Karibuni muokoe jahazi
 
Wadau,

Kama wewe ulishawahi kuwa mhanga wa hii, ulipambana vp na tatizo la kukojoa haraka ndani ya dakika 1 alafu mashine kuchelewa kusimama kwa ajili ya round 2?

Karibuni muokoe jahazi
@@
 
Hiyo nilikuwa nayo zamani. Lakini ukishazizoe maku hiyo hali itapotea.

Sometimes unakojoa haraka kwasababu ya ushamba na ugwadu.

Kama ni tatizo, tafuta Uzi wangu mmoja nimeelezea jinsi ya kupiga BAO 2 double. Fuata hatua hizo uone maajabu.

Kulink naona inanishinda mpaka nitumie JF app Mimi natumia chrome.
 
Back
Top Bottom