Lovebird
JF-Expert Member
- Sep 27, 2012
- 6,383
- 9,337
Usipokojoa ndanii round 1 dyudyuu husimama mapema kwa ajili ya mtanange wa pili
Epuka matumiz ya pombe, fanya mazoezi na ule mlo kamili (ugali+maharagwe+majani+dagaa) + maji ya kutosha
Epuka tizama picha za pornography....mvuto/ mwonekano wa mwenza wako ndo ukupe hamasaa
Wenzio wakisifia wapenz wao wana mguu wa biaa nawe msifie mkeo kuwa nae ana mguu wa biaa hata ka inafanana na spoku za baiskeli