Kama unaangalia porn acha mara moja.
Psychologists wanasema ubongo ni adaptability machine maana yake unaadapt na kuzoea chochote kwenye mazingira yoyote. Kitendo cha wewe kuangalia watu wawili wakifanya ngono kinapelekea ubongo wako kuzoea hiyo hali na unakuwa unaridhika ukiona watu wakifanya ngono pekee badala ya wewe kuwa kwenye tendo hilo. Hivyo ukiwa na mwanamke hisia zinakuwa hazipo kabisa.
Binafsi sijawahi kuwa na hali hiyo na sababu kuu ni mazoezi makali, kula vizuri, kuacha kulipia only fans na kutokuwa shabiki wa porn na hasa baada ya kuachana na chama cha wachukua sheria mkononi. Kuna chama cha maveteran wa chaputa kinaitwa NoFap hii kitu ni gamechanger sababu unakuwa na hisia kali sana lakini utajizuia kuchukua sheria mkononi na ukipata mtoto mzuri lazima utaona maajabu.