De hope
Member
- Dec 17, 2013
- 6
- 6
Wadau,
Kama wewe ulishawahi kuwa mhanga wa hii, ulipambana vp na tatizo la kukojoa haraka ndani ya dakika 1 alafu mashine kuchelewa kusimama kwa ajili ya round 2?
Karibuni muokoe jahazi
Stress zinasababisha sana hii kitu Af pia Kama Mwili hauna mood ya sex Usilazimishe [emoji16] Kuna siku Nilikuwa sina moody kabisa ila Nikafosi kwasababu manzi alikuwa anasafiri, Nikaingia mzigoni kupump one two Nahisi ngoma hizo Najitahidi kucontrol lakin wapi Najitahidi kupiga slow lakin wap, Nikajitahidi kutupa mawazo mbali lakini Wapi unahisi kabisa Ngoma hizo Nitaona kujitesa kwa kazi gani Nikaachia [emoji23] Na hapo Manzi ndo kwa yeye ndo anaanza nilipata aibu sana [emoji1544]