Namna ya kukabili tatizo la kuwahi kufika kileleni na kushindwa kuendelea

Namba 5 sikubaliani na wewe mkuu. Hiyo style ya kuangalia upande mmoja inaleta msisimko wa hali ya juu san
 
Si bora yako,Kuna pisi kali ilikuja geto mara ya Kwanza kama welcome form one ,mara ya pili nikaona ngoja nijaribu zali Kwa maana nili mpania sana , na siku iyo nikaona ngoja niji bless na mtoto mzuri Kwa sababu ilikuwa birthday yangu [emoji3]

*Makosa niliyofanya kabla hajafika
1.nilimpania sana tangu asubuhi baada ya kunipa taarifa atakuja jion

2.nilikuwa na njaa na nilifanikiwa kula msosi jion nusu sa kabla hanafika,na nilikuwa nikila chakula sishibi ,hakishuki vizuri tabu tupu Yan ,nikaongeza sahani ya pili lakini Bado,

3.mwili ulikuwa hautulii ,mara natetemeka ,mara jasho haliishi,mara nakojoa hovyo kama mara Saba ,mara niende haja kubwa Kama mara nne.



*Aibu niliyoipata baada ya mtoto kufika baada ya kula chakula na story .

1.nilijaribu zali ,mtoto akakubali ila Bado nilijiona Bado mwili hauna hisia Kwa sababu ya msosi niliona haijafanya kazi ,na mwili ulikuwa hauna nguvu.

2.baada ya touch za hapa na pale mtoto akaitaji pipe [emoji3] ,akamshika jogoo kumbe Wala Hana habari ,amelala yooo.

Na hapo mtoto ananiambia nini hichi,mara na jaribu kuamsha jogoo hataki kuamka [emoji3],jaribu vuta hisia wapi,mtoto anaharaka anadai anachelewa home na Giza lishaingia nikaona tu hapa sio bahati yangu.
Nikamsindikiza bila mafanikio ya ushindi,na akanicheka hatari [emoji3]
 
Noted [emoji106][emoji106][emoji106]

Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu unakula mlo kamili lakini ?
Au mihogo na maji.... !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…